Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

Msumarii
 
Wajinga ndio wanahangaika na huyo Russia ila ni Taifa useless..

Badala tuwe upande wa washirika wetu wa maendeleo eti unategemea kwa njaa kama Russia labda mtakula makombora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…