Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
- Thread starter
- #21
Yap ni sahihiKadi zote zina uwezo huo ila sio kila atm machine ina huduma hiyo,
Yap ni sahihiKadi zote zina uwezo huo ila sio kila atm machine ina huduma hiyo,
😀😀😀Wengi tu hawajui
Tena wengi mpaka wasomi 🤣🤣🤣
Aki nani tena ..... 🤪🤪🤪😀😀😀
🏃♂️🏃♂️🏃♂️ Ww naona unawatufuta akina nanii..... Huo ugomvi wake sijui nani ataamulia
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Aki nani tena ..... 🤪🤪🤪
Kila hatua dua mzeeAhsante saana kwa elimu. Japo mimi sina kadi ya benki wala similiki hata mia benki siku nikijipata sitokuwa mshamba kihivyo wa kutumia kadi.
Bado naendelea na lipa namba yangu ndio kadi yangu.
Wa kulaumiwa ni wahudumu wa benk, anapokuja kukuelekeza huwa hawagusii kabisa hiyo NFCWengi tu hawajui
Tena wengi mpaka wasomi 🤣🤣🤣
Sasa wasomi wanaingiaje hapa mkuu? Kwamba ukisoma somo la kwanza ni kukufundisha kutumia ATM auWengi tu hawajui
Tena wengi mpaka wasomi 🤣🤣🤣
Hata POS za madukani au petrol station wanatumia hii sana badala ya ku swipe card yako.Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.
NFC reader ni nini?
Ni sehemu ya Atm mara nyingi huwa ni upande wa kushoto, yenye alama ya mawimbi kama Wi-fi hivi, ambapo unaweka kadi au kugusisha kadi yako ili iweze kusoma.
Hatua za kufuata;
1. Gusisha kadi kwenye nembo ya WiFi kwa sekunde chache.
2. ATM itakukaribisha na kukutaka uweke PIN yako
3. Chagua huduma unayotaka, kisha subiri huduma
4. Jihudumie kisha Chukua risiti
Huduma hii ni kwenye ATM zenye nembo ya WiFi
Japo kuna Atm mashine zingine zinaruhusu kutoa pesa bila kuwa na kadi kwa kutumia simu/app au QR number.
Epuka kadi yako kumezwa tereza kibosi.
Hili sio tangazo ila nmeamua nisaidie wale ambao bado hawajui huduma hii maana jana kuna mtu nmemsaidia baada ya kupata shida kwenye kadi yake na karibia wateja waliokuwa around walishangaa hiyo huduma.
View attachment 3646413
Wachomeke ndani!?...🛑Mazoea Pia Baadhi Wanahofu Kuiacha Kadi Juu, Wanaona Bora Uchomeke Ndani
Zile button haziko contaminated?Pale huwa pako contaminated
Wengi wanajua lakini makato yake ni Makubwa.Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.
NFC reader ni nini?
Ni sehemu ya Atm mara nyingi huwa ni upande wa kushoto, yenye alama ya mawimbi kama Wi-fi hivi, ambapo unaweka kadi au kugusisha kadi yako ili iweze kusoma.
Hatua za kufuata;
1. Gusisha kadi kwenye nembo ya WiFi kwa sekunde chache.
2. ATM itakukaribisha na kukutaka uweke PIN yako
3. Chagua huduma unayotaka, kisha subiri huduma
4. Jihudumie kisha Chukua risiti
Huduma hii ni kwenye ATM zenye nembo ya WiFi
Japo kuna Atm mashine zingine zinaruhusu kutoa pesa bila kuwa na kadi kwa kutumia simu/app au QR number.
Epuka kadi yako kumezwa tereza kibosi.
Hili sio tangazo ila nmeamua nisaidie wale ambao bado hawajui huduma hii maana jana kuna mtu nmemsaidia baada ya kupata shida kwenye kadi yake na karibia wateja waliokuwa around walishangaa hiyo huduma.
View attachment 3646413
Kadi inasoma kama hiyo kadi ni ya Bank ya hiyo ATMUkiwa unamaanisha kadi haiwezi kusoma
Safi mkuu umetoa elimu mujaarabuUkienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.