Watanzania wengi wanaotumia ATM machine kutoa pesa bado hawajui huduma ya kugusa kadi (NFC Reader) kutoa pesa wamezoea njia ya kuchomeka kadi

ATM za zamani hazikuwa na hizo options. Mfano hii hapa.
View attachment 3646756

Ila ATM za kisasa zina options nyingi ikiwemo hiyo uliyosema mleta mada.

Zingine zina mpaka options za Fingerprint na Barcode Scanning. Kama hii hapa chini.
View attachment 3646757

Pia siku hizi branches zilizo maeneo Prime wameweka ATM za kudeposit mwenyewe, yani hauhitajiki kwenda ndani na kupanga foleni ili kuweka pesa kwenye account yako, ni unaenda Deposit ATM unajihudumia mwenyewe chap chap.
Safi sana lakini swali la kujiuliza hapa ni je, wanapokuwa wanaboresha huduma hizi je, taarifa zinawafikia walengwa kwa kiasi gani?
 
Kadi zote zina uwezo huo ila sio kila atm machine ina huduma hiyo,
Sawa kabisa,Kuna kadi yangu ilivunjika ikiwa na mwezi tu tangu nirenew nikasema siombi kadi mpya ikawa nimwendo wakugusisha tu lkn kuna tawi ilo nilikuwa nikienda nagusisha mpaka nakandamiza lakini haisomi
 
ATM za zamani hazikuwa na hizo options. Mfano hii hapa.
View attachment 3646756

Ila ATM za kisasa zina options nyingi ikiwemo hiyo uliyosema mleta mada.

Zingine zina mpaka options za Fingerprint na Barcode Scanning. Kama hii hapa chini.
View attachment 3646757

Pia siku hizi branches zilizo maeneo Prime wameweka ATM za kudeposit mwenyewe, yani hauhitajiki kwenda ndani na kupanga foleni ili kuweka pesa kwenye account yako, ni unaenda Deposit ATM unajihudumia mwenyewe chap chap.
Yes hii nimefanya sana kwenye benki ya moja pendwa, nikaachana na mambo ya kwenda kwa wakala sijui kwenda benki kudeposit
 
Back
Top Bottom