Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
- Thread starter
-
- #41
Ndio kazi yake mzeeHuwa najiuliza kale kadude kazi yake nini? Kumbeee
Ni kweli ukiwa unafungua akaunti kwa mara ya kwanza wakienda kukuelekeza namna ya kutumia kadi hawagusi kabisa huduma hiyo au hata namna ya kutumia QR numberWa kulaumiwa ni wahudumu wa benk, anapokuja kukuelekeza huwa hawagusii kabisa hiyo NFC
Ilikuwa chagizo tu mkuu hakuwa serious sanaSasa wasomi wanaingiaje hapa mkuu? Kwamba ukisoma somo la kwanza ni kukufundisha kutumia ATM au
Yap hili nalo nimeligusia hapo juu kidg japo shida ni kwamba kama hujawahi kutumia hizi huduma huwezi jua hata kidgoSisi wengine tunatolea kwenye mobile app (cardless)then tunaenda na namba tu kwenye ATM
Safi sana lakini swali la kujiuliza hapa ni je, wanapokuwa wanaboresha huduma hizi je, taarifa zinawafikia walengwa kwa kiasi gani?ATM za zamani hazikuwa na hizo options. Mfano hii hapa.
View attachment 3646756
Ila ATM za kisasa zina options nyingi ikiwemo hiyo uliyosema mleta mada.
Zingine zina mpaka options za Fingerprint na Barcode Scanning. Kama hii hapa chini.
View attachment 3646757
Pia siku hizi branches zilizo maeneo Prime wameweka ATM za kudeposit mwenyewe, yani hauhitajiki kwenda ndani na kupanga foleni ili kuweka pesa kwenye account yako, ni unaenda Deposit ATM unajihudumia mwenyewe chap chap.
Dah! Akili yangu inaniambia umewaza kitu kingine tofauti baada ya kuone neno chomekaWachomeke ndani!?...π
Siyo wanakula Sana, tunajua Sana.Wanajua Sana Mkuu
najua mkuu, anataka kutuchangamsha wasomi tusikae kinyonge sanaIlikuwa chagizo tu mkuu hakuwa serious sana
Ha ha ha ni kweli kwa maana ukiwa msomi watu huku mtaani wanaamini unajua kila kitunajua mkuu, anataka kutuchangamsha wasomi tusikae kinyonge sana
wanaamini kila sekta unaijua, utasikia msomi mzima lakini mke wake amemkimbiaHa ha ha ni kweli kwa maana ukiwa msomi watu huku mtaani wanaamini unajua kila kitu
πππwanaamini kila sekta unaijua, utasikia msomi mzima lakini mke wake amemkimbia
ππππ au sioPale huwa pako contaminated
Kama kadi imeksipaya, bado itaendelea kufΓ nyΓ kazi?Nope kila kadi ina huo uwezo kikubwa panapolazwa ni ule upande wenye chip.
Sawa kabisa,Kuna kadi yangu ilivunjika ikiwa na mwezi tu tangu nirenew nikasema siombi kadi mpya ikawa nimwendo wakugusisha tu lkn kuna tawi ilo nilikuwa nikienda nagusisha mpaka nakandamiza lakini haisomiKadi zote zina uwezo huo ila sio kila atm machine ina huduma hiyo,
Hatutumii mkuu mimi nakupongeza kwa kunikumbusha tushazoea kuchomeka kadi tu ila mara chache tunafanya hivyo..Sasa kwanini hatuitumii sana maana hata mimi kuitumia sio sana au mazoea?
Yes hii nimefanya sana kwenye benki ya moja pendwa, nikaachana na mambo ya kwenda kwa wakala sijui kwenda benki kudepositATM za zamani hazikuwa na hizo options. Mfano hii hapa.
View attachment 3646756
Ila ATM za kisasa zina options nyingi ikiwemo hiyo uliyosema mleta mada.
Zingine zina mpaka options za Fingerprint na Barcode Scanning. Kama hii hapa chini.
View attachment 3646757
Pia siku hizi branches zilizo maeneo Prime wameweka ATM za kudeposit mwenyewe, yani hauhitajiki kwenda ndani na kupanga foleni ili kuweka pesa kwenye account yako, ni unaenda Deposit ATM unajihudumia mwenyewe chap chap.
Hii huduma kwakweli sijawahi kutumiaYes hii nimefanya sana kwenye benki ya moja pendwa, nikaachana na mambo ya kwenda kwa wakala sijui kwenda benki kudeposit