manake hapo makato yanakua mara mbili si ndioSisi wengine tunatolea kwenye mobile app (cardless)then tunaenda na namba tu kwenye ATM
Kuna baadhi ya ATM zina mlango wa kudeposit pesa upande wa kushoto chini ya screen......karibu ATM zote za benki ya Absa (zamani. Barclays) zipo hivyo, mimi nilikuwa na deposit hivyo tena mkoani.Hii huduma kwakweli sijawahi kutumia
Hatuongelei KLY hukuDogo unajiona umemaliza
Noted mkuuKuna baadhi ya ATM zina mlango wa kudeposit pesa upande wa kushoto chini ya screen......karibu ATM zote za benki ya Absa (zamani. Barclays) zipo hivyo, mimi nilikuwa na deposit hivyo tena mkoani.
Wengi pia hawafahamu kwamba ndani ya herufi ATM tayari kuna neno mashine.Ukienda benki upande wa ATM mashine
ποΈππΎποΈWengi pia hawafahamu kwamba ndani ya herufi ATM tayari kuna neno mashine.
Shukrani kwa elimu, ngoja nifatilie
Au siyo mwanetu?Hatuongelei KLY huku
JitafakariAu siyo mwanetu?
Ni kweli japo kila anachofanya mtejansi lazima aongee.Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.
NFC reader ni nini?
Ni sehemu ya Atm mara nyingi huwa ni upande wa kushoto, yenye alama ya mawimbi kama Wi-fi hivi, ambapo unaweka kadi au kugusisha kadi yako ili iweze kusoma.
Hatua za kufuata;
1. Gusisha kadi kwenye nembo ya WiFi kwa sekunde chache.
2. ATM itakukaribisha na kukutaka uweke PIN yako
3. Chagua huduma unayotaka, kisha subiri huduma
4. Jihudumie kisha Chukua risiti
Huduma hii ni kwenye ATM zenye nembo ya WiFi
Japo kuna Atm mashine zingine zinaruhusu kutoa pesa bila kuwa na kadi kwa kutumia simu/app au QR number.
Epuka kadi yako kumezwa tereza kibosi.
Hili sio tangazo ila nmeamua nisaidie wale ambao bado hawajui huduma hii maana jana kuna mtu nmemsaidia baada ya kupata shida kwenye kadi yake na karibia wateja waliokuwa around walishangaa hiyo huduma.
View attachment 3646413
Duh!!!!Jitafakari
Unapozipress zinajisuguaZile button haziko contaminated?
πJitafakari
Hio huduma kama ipo na hua naiona pia je mkuu unaweza ihusianisha vipi na nfc kwenye simu upande wa kutoa pesa bank manake kuna simu zina nfc na nikigugo naona hio feature inauwezo wa kutoa pesa kwa sikuUkienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.
NFC reader ni nini?
Ni sehemu ya Atm mara nyingi huwa ni upande wa kushoto, yenye alama ya mawimbi kama Wi-fi hivi, ambapo unaweka kadi au kugusisha kadi yako ili iweze kusoma.
Hatua za kufuata;
1. Gusisha kadi kwenye nembo ya WiFi kwa sekunde chache.
2. ATM itakukaribisha na kukutaka uweke PIN yako
3. Chagua huduma unayotaka, kisha subiri huduma
4. Jihudumie kisha Chukua risiti
Huduma hii ni kwenye ATM zenye nembo ya WiFi
Japo kuna Atm mashine zingine zinaruhusu kutoa pesa bila kuwa na kadi kwa kutumia simu/app au QR number.
Epuka kadi yako kumezwa tereza kibosi.
Hili sio tangazo ila nmeamua nisaidie wale ambao bado hawajui huduma hii maana jana kuna mtu nmemsaidia baada ya kupata shida kwenye kadi yake na karibia wateja waliokuwa around walishangaa hiyo huduma.
View attachment 3646413
Sentensi ya mwisho imenifanya nijikute nacheka kwa sauti bila sababu.Mazoea Pia Baadhi Wanahofu Kuiacha Kadi Juu, Wanaona Bora Uchomeke Ndani
πππββοΈππππ ππChomekaSentensi ya mwisho imenifanya nijikute nacheka kwa sauti bila sababu.
Kwakweli kuhusu simu najua kutumia QR au namba basi hiyo ya simu kuwa na nfc sijui kwakweli labda SamuraiJack atusaidieHio huduma kama ipo na hua naiona pia je mkuu unaweza ihusianisha vipi na nfc kwenye simu upande wa kutoa pesa bank manake kuna simu zina nfc na nikigugo naona hio feature inauwezo wa kutoa pesa kwa siku