Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 947
- 2,601
- Thread starter
-
- #81
Duh kwakweli kuangalia salio ni bora uwe na app maana ni bure ila huko kwenye ma atm au kwenye risiti ni makato kwa kwenda mbele?Shida ya pale huwezi kuangalia salio, kwa wale tuliozoea kuangalia salio hiyo option siyo rafiki!!!!
Nielekeze hio ya QR kwa simu upande wa crdb kwa namba kutoa cardlesslyKwakweli kuhusu simu najua kutumia QR au namba basi hiyo ya simu kuwa na nfc sijui kwakweli labda SamuraiJack atusaidie
Mkuu, kuna kitu nimekinotice... bank ya NBC mara nyingi sana huwa inatema noti mpya.... sasa hii ikoje? Au ndo BoT imewapa haki miliku ya kuchapisha noti? Kama nimetembelea ATM za NBC mara 10 basi mara 8 nimetoa noti mpya... hebu naomba nipate elimu hapo.... hiyo mosi... pili kwa nini bank hawaweki noti za elfu 1 na elfu 2? Walau NBC kuna elfu 5 lakini noti ndogo ndogo zipo kwenye mzunguko sana... kwa nini hawaweki? Au ndo agenda ya kunyong'onyesha thamani ya pesa yetu?Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.
NFC reader ni nini?
Ni sehemu ya Atm mara nyingi huwa ni upande wa kushoto, yenye alama ya mawimbi kama Wi-fi hivi, ambapo unaweka kadi au kugusisha kadi yako ili iweze kusoma.
Hatua za kufuata;
1. Gusisha kadi kwenye nembo ya WiFi kwa sekunde chache.
2. ATM itakukaribisha na kukutaka uweke PIN yako
3. Chagua huduma unayotaka, kisha subiri huduma
4. Jihudumie kisha Chukua risiti
Huduma hii ni kwenye ATM zenye nembo ya WiFi
Japo kuna Atm mashine zingine zinaruhusu kutoa pesa bila kuwa na kadi kwa kutumia simu/app au QR number.
Epuka kadi yako kumezwa tereza kibosi.
Hili sio tangazo ila nmeamua nisaidie wale ambao bado hawajui huduma hii maana jana kuna mtu nmemsaidia baada ya kupata shida kwenye kadi yake na karibia wateja waliokuwa around walishangaa hiyo huduma.
View attachment 3646413
Usishangae Hata wao wenyewe hawajuiWa kulaumiwa ni wahudumu wa benk, anapokuja kukuelekeza huwa hawagusii kabisa hiyo NFC
Mkuu kwa simu mm huwa na withdraw ATM kwa kutumia Sim Banking tu bila kadi, hiyo njia ya NFC mwenyewe sijawahi tumia kwa kweli.Kwakweli kuhusu simu najua kutumia QR au namba basi hiyo ya simu kuwa na nfc sijui kwakweli labda SamuraiJack atusaidie
Darasa huru.Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa pesa kwenye ATM bila kuingiza kadi yako kwenye card slot kwani wengi wamekuwa wakilalamika kadi zao kumezwa wengine kadi hazisomi.
NFC reader ni nini?
Ni sehemu ya Atm mara nyingi huwa ni upande wa kushoto, yenye alama ya mawimbi kama Wi-fi hivi, ambapo unaweka kadi au kugusisha kadi yako ili iweze kusoma.
Hatua za kufuata;
1. Gusisha kadi kwenye nembo ya WiFi kwa sekunde chache.
2. ATM itakukaribisha na kukutaka uweke PIN yako
3. Chagua huduma unayotaka, kisha subiri huduma
4. Jihudumie kisha Chukua risiti
Huduma hii ni kwenye ATM zenye nembo ya WiFi
Japo kuna Atm mashine zingine zinaruhusu kutoa pesa bila kuwa na kadi kwa kutumia simu/app au QR number.
Epuka kadi yako kumezwa tereza kibosi.
Hili sio tangazo ila nmeamua nisaidie wale ambao bado hawajui huduma hii maana jana kuna mtu nmemsaidia baada ya kupata shida kwenye kadi yake na karibia wateja waliokuwa around walishangaa hiyo huduma.
View attachment 3646413
Swali lako la pili nitajibu kama mteja wa benki na sio mtumishi wa benki.Mkuu, kuna kitu nimekinotice... bank ya NBC mara nyingi sana huwa inatema noti mpya.... sasa hii ikoje? Au ndo BoT imewapa haki miliku ya kuchapisha noti? Kama nimetembelea ATM za NBC mara 10 basi mara 8 nimetoa noti mpya... hebu naomba nipate elimu hapo.... hiyo mosi... pili kwa nini bank hawaweki noti za elfu 1 na elfu 2? Walau NBC kuna elfu 5 lakini noti ndogo ndogo zipo kwenye mzunguko sana... kwa nini hawaweki? Au ndo agenda ya kunyong'onyesha thamani ya pesa yetu?
Kwa kweli banki ya CRDB niliacha kutumia muda kidg ndgu na sidhani kama hii huduma washawezesha kwa maana unatumia app mfan sim banking kupata QR CODE lakni nmb na crdb bado sijaona kama wanahiyo huduma kwan huduma ya qr code waliyonayo ni ya kulipia tu bidhaa ( lipa namba)Nielekeze hio ya QR kwa simu upande wa crdb kwa namba kutoa cardlessly
Mabenki huwa hawagusii hiki kipande, wanaweza kuja na kampeni ya kuhamasisha hilo ili wao wawanyuke kwenye makato dadeki.Wengi wanajua lakini makato yake ni Makubwa.
Kuna siku na mimi nilihaha, kutoa pesa inasema sina salio, kuchek salio inasema huduma haijakamilika. Kuingiza kadi ikagomea huduma nikatoka nje kuchek salio kwenye app lipo,nikasubiri dk chache ndio ikakubali.Tunajua sana mkuu, sema atm zetu vimeo hata benki wenyewe wanashauri utumie hiyo ya kuingiza kadi. Hapo juu mara utaambiwa salio halitoshi na fedha imo, mara utoe fedha na isitoke na huku imekatwa basi tafrani tu.