Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanahamasisha! Maana tunawaona hata mitaani, kwanza muda wote wanaweza kuvunja sheria mchana kweupee na mtu asimuulize chochote hata kuwe na askari au sheria ya aina gani, huku barabarani mtu anakuchezea rafu hata muda mingine kukusababishia ajali na anaweza asisimame sasa nani asietaka kuishi hivyo kwenye nchi kama hii! Nani asietaka kua mshenzi kiasi hicho!!?
 
Unafikiria 800k allowance per day nani asieitaka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka kuingia sehemu ambapo huwez toka
Ndugu mim ni hohahehae tu nauza samaki maisha yanaends
aaah samaki biashara kubwa sana hiyo, mie kikubwa niwe kitengo tu.. hayo mambo ya kutoka tutajuana nayo mbele kwa mbele, naweza kuja kuwa DGIS tukatoka kabisaa madili makubwa makubwa nakuwa nakupasia
 
[emoji23]
 
Nakukumbuka kijana.

Ila mbona mlikuwa mnatuogopa Sana tukija kulinda Yale makinikia/mchanga wa magu pale kazini kwako Zambia cargo (mofed)?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
aaah samaki biashara kubwa sana hiyo, mie kikubwa niwe kitengo tu.. hayo mambo ya kutoka tutajuana nayo mbele kwa mbele, naweza kuja kuwa DGIS tukatoka kabisaa madili makubwa makubwa nakuwa nakupasia
sawa kila kheri
 
Jamaa ni watu wa kawaida sana ila humu wanakuwa overrated sana, nakumbuka kuna siku IGP kaja na wao walikuja kupiga gwaride kumpokea na suti zao ni watu wa kawaida tu kama professional zingine mfano walimu nk

Mwingine alikuwa jirani yetu ,alikuwa dereva huko TISS na ile nyumba ni ya TISS nyumba kubwa kama Hostel,jamaa alikuwa kama madereva wengine wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…