Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto masikini wanahitaji msaada
Watanzania tubadilike mafanikio bila utoaji hayapo jiulize ni lini ulienda kuwaona watoto yatima ila pesa za kunywa vileo mnazo nyie Wanawake pesa za kubadilisha nguo na mawigi kila siku mnazo
Watanzania tubadilike mafanikio bila utoaji hayapo jiulize ni lini ulienda kuwaona watoto yatima ila pesa za kunywa vileo mnazo nyie Wanawake pesa za kubadilisha nguo na mawigi kila siku mnazo