Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Huyo hana akili nzuri. Kuna mahali tena nimeona anaandika kama chizi.Nadhani hujamwelewa,hajazungumzia wanae mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hana akili nzuri. Kuna mahali tena nimeona anaandika kama chizi.Nadhani hujamwelewa,hajazungumzia wanae mkuu
Pole kwa changamotoLea watoto usikimbie majukumu unazaa kama panya halafu unakimbia kulea full stop sindano imeshakuchoma
Sio kuharibu Uzi wewe akili huna watoto yatima inabidi serikali iwatunze na kuwahudumia mpaka wakikua kUWEZA kujitegemea halafu waingie mtaani wakapambane na maisha Yao sababu dunia Haina huruma sio kazi ya raia mtoa kodi kuanza kubebeshwa zigo eti kwakua anauwezo mfuate raisi wako anamihela ya Kodi ya sisi wananchi sio unakuja hapa kutia huruma wakati hii nchi inaendeshwa Kwa Kodi au huna akili timamuNaona lengo lako kuharibu Uzi huu
Hapo kwenye mawigi!Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto masikini wanahitaji msaada
Watanzania tubadilike mafanikio bila utoaji hayapo jiulize ni lini ulienda kuwaona watoto yatima ila pesa za kunywa vileo mnazo nyie Wanawake pesa za kubadilisha nguo na mawigi kila siku mnazo
Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto masikini wanahitaji msaada
Watanzania tubadilike mafanikio bila utoaji hayapo jiulize ni lini ulienda kuwaona watoto yatima ila pesa za kunywa vileo mnazo nyie Wanawake pesa za kubadilisha nguo na mawigi kila siku mnazo
Ni Mzee mmoja kapambana tangu mwaka 80 kuhakikisha wanapata kituo Cha kulelea watoto anasema alikuwa anaona watoto wanasubiri dampo chakula kitupwe akajitoa kwa hali na mali anawapongeza wazungu na matajiri namna walivyombeba mpaka kituo rasmi kikaja kupatikana ndio walichangia ndio analalamika jinsi watanzania wengine wameshindwa kujitoa pesa nyingi wanazitoa kwa manabii kutafuta miujizaMkuu hata kwa manabii au harusi ni kutoa vile vile.
Anayelalamika hapo bila shaka anasaka mafao take zaidi.
Kwani hata hivyo yeye katoa nini?
100%
Ukiwa na uwezo wa kusaidia hauwezi kuandika hiki unachoandika upo katika kundi la poverty circle ndio maana jazba za kutosha..Acha ujinga Lea watoto mijitu mieusi sijui ipoje eti walionacho wanatoa hivi uombaomba mtaacha lini
Usaidiwe Ili iweje hudumia familia Yako unataka nani ahudumie mijitu mieusi bhana masikini wewe unaetaka msaadaUkiwa na uwezo wa kusaidia hauwezi kuandika hiki unachoandika upo katika kundi la poverty circle ndio maana jazba za kutosha..
Mkuu, ningetoa ila hakuna kitu kibaya kama kutoa kwa hawa matajiri wa jf😂😂😂Mkuu, Min_Me kwaio hata offer ya Smirnoff black ace moja hautoi offer 😅😊
Ni Mzee mmoja kapambana tangu mwaka 80 kuhakikisha wanapata kituo Cha kulelea watoto anasema alikuwa anaona watoto wanasubiri dampo chakula kitupwe akajitoa kwa hali na mali anawapongeza wazungu na matajiri namna walivyombeba mpaka kituo rasmi kikaja kupatikana ndio walichangia ndio analalamika jinsi watanzania wengine wameshindwa kujitoa pesa nyingi wanazitoa kwa manabii kutafuta miujiza
hata baada ya kituo hicho kupatikana wazungu na matajiri ndio wanaendelea kujitoa
Watoto wale wanahitaji malazi na chakula
Kinapungua kivipi ?mbona matajiri wanatoa na wanazidi kufanikiwa Kusaidia watoto yatima ni fursa usikae nyumaHuo uhusiano wa kutoa na kufanikiwa hata sijawahi kuuelewa, ukitoa maana yake ulichonacho kinapungua, unafanikiwa vipi sasa?
Ngoja nikuteme mazee...Usaidiwe Ili iweje hudumia familia Yako unataka nani ahudumie mijitu mieusi bhana masikini wewe unaetaka msaada