Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
100%Sio lazima kutoa. Usipotoa hupungukiwi na chochote.
Huwezi kutatua matatizo yote duniani.
Kenge Tena!?Lea watoto boya wewe usikimbie majukumu halafu utegemee jasho la mtu wakati starehe ulipata wewe mnazaa kama panya halafu manaanza kutoa huruma
Tena wa kijani Hana akili huyo dunia hii anaanza kutia huruma eti watu watoe misaada wakati Raha alikua anapata yeyeKenge Tena!?
Nadhani hujamwelewa,hajazungumzia wanae mkuuTena wa kijani Hana akili huyo dunia hii anaanza kutia huruma eti watu watoe misaada wakati Raha alikua anapata yeye
Hilo limekimbia watoto Sasa linasikilizia watu wapeleke msaada kama huna D 2 huwezi kuelewa eti ukilea mitoto yake ndio unafanikiwa uliona wapiNadhani hujamwelewa,hajazungumzia wanae mkuu
Mkuu mbona jazba sana walionacho wanatoa itafika hiyo level utaona kutoa ni kawaida tu...Tena wa kijani Hana akili huyo dunia hii anaanza kutia huruma eti watu watoe misaada wakati Raha alikua anapata yeye
OkayHilo limekimbia watoto Sasa linasikilizia watu wapeleke msaada kama huna D 2 huwezi kuelewa
Watoto yatima ni wakuonewa huruma tu wengine wamezaliwa wakatupwa wamelelewa na kituo mpaka wanakua ata afya zao ukiwaona wanahuzunisha sanaTutoe lakini sio sadaka kanisani.
Acha ujinga Lea watoto mijitu mieusi sijui ipoje eti walionacho wanatoa hivi uombaomba mtaacha liniMkuu mbona jazba sana walionacho wanatoa itafika hiyo level utaona kutoa ni kawaida tu...
Lea watoto kenge wewe usikimbie majukumu halafu utegemee jasho la mtu wakati starehe ulipata wewe mnazaa kama panya halafu mnaanza kutia huruma dunia hii Haina huruma Kila mtu yupo na mambo yake hata serikali ipo na mambo yake maisha yenyewe mafupi haya
Huna akili kazi ya kulea watoto yatima ni ya serikali ambayo wananchi tunalipa Kodi mfuate raisi wako umuambie habari hizo sio sisi raiaWatoto yatima ni wakuonewa huruma tu wengine wamezaliwa wakatupwa wamelelewa na kituo mpaka wanakua ata afya zao ukiwaona wanahuzunisha sana
Lea watoto usikimbie majukumu unazaa kama panya halafu unakimbia kulea full stop sindano imeshakuchomaAkili yako ina shida mahali.
Unatumia lugha chafu sana humu JF.
Una changamoto ya kinaisha ambayo inahitaji tiba.
Makasiriko yako siyo ya kawaida.
Naona lengo lako kuharibu Uzi huuHuna akili kazi ya kulea watoto yatima ni ya serikali ambayo wananchi wanalipa Kodi mfuate raisi wako umuambie habari hizo sio sisi raia