Hiyo dhana ya Chadema kutosimamisha mgombea wa Urais ni uongo wa kiccm,iwe jua iwe mvua uchaguzi ujao tunasimisha mgombea wa Urais tena kwa nguvu kubwa sana regardless CCM wamemsimamisha nani.Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, ustahimilivu, Mabadiliko pia kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya
Rais Samia Suluhu kupitia kuwaunganisha wanachama wote wa upinzani kukaa pamoja hii imekua na tafsiri kwamba vyama vyote vimemkubali na 2025 hawatakua na nguvu ya kusimamisha mgombea urais atakaepingana na Rais Samia maana Mama amefanya yote yale ambayo hayakuwahi kufanyika tangu Tanzania ipate uhuru watanzania wote tumekua na tukiimba wimbo mmoja wa kwamba tuko na mama hadi 2030
Asante Mama kwa kufanikisha ujenzi wa Tanzania mpya
Unafikilia kuna mtu atasimama kumpinga Rais Samia Suluhu kwa lipii maana Mama amekaba kila sekta amimarisha may be wasimamishe mgombea kama katiba inavyosema lakini ni kupoteza muda tu maana hata ajenda hawana wameishiwa kabisaHiyo dhana ya Chadema kutosimamisha mgombea wa Urais ni uongo wa kiccm,iwe jua iwe mvua uchaguzi ujao tunasimisha mgombea wa Urais tena kwa nguvu kubwa sana regardless CCM wamemsimamisha nani.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwa maendeleo haya tuko na Mama hadi 2030Sio lazima wawe wengi hata wachache tunatosha
Unaijua kongani ya viwanda ya Kwala City na dry port?Kwa maendeleo haya tuko na Mama hadi 2030
Nimekuwa nawaambia mara nyingi kwamba Baada ya Nyerere Sasa tumepata mama wa Taifa..Unafikilia kuna mtu atasimama kumpinga Rais Samia Suluhu kwa lipii maana Mama amekaba kila sekta amimarisha may be wasimamishe mgombea kama katiba inavyosema lakini ni kupoteza muda tu maana hata ajenda hawana wameishiwa kabisa
Kwakweli Mama amefanya maendeleo mengi sana kila sekta ukiachilia mbali sekta zilizozoeleka za umeme, maji, elimu, afya na miundombinu Mama ameboresha sera ya uwekezaji na biashara nchini hili ni jambo kubwa sana linalotupatia ajira kila siku na mzunguko wa pesa mtaaniNimekuwa nawaambia mara nyingi kwamba Baada ya Nyerere Sasa tumepata mama wa Taifa..
Huyu ndio Rais ataweka alama kubwa kabisa kweye uchumi wa Tanzania Toka Taifa letu limeanza.
Hadi kwenye sekta hizi za real estate ambazo zilikufa kabisa awamu ya 5.Kwakweli Mama amefanya maendeleo mengi sana kila sekta ukiachilia mbali sekta zilizozoeleka za umeme, maji, elimu, afya na miundombinu Mama ameboresha sera ya uwekezaji na biashara nchini hili ni jambo kubwa sana linalotupatia ajira kila siku na mzunguko wa pesa mtaani
Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya.
Rais Samia Suluhu kupitia kuwaunganisha wanachama wote wa upinzani kukaa pamoja, hii imekuaw na tafsiri kwamba vyama vyote vimemkubali na 2025 hawatakuwa na nguvu ya kusimamisha Mgombea Urais atakaepingana na Rais Samia maana Mama amefanya yote yale ambayo hayakuwahi kufanyika tangu Tanzania ipate uhuru.
Watanzania wote tumekuwa na tukiimba wimbo mmoja, wa kwamba tuko na mama hadi 2030.
Asante Mama kwa kufanikisha ujenzi wa Tanzania mpya