Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Waonyeshe upendo tu mkuu maana wengine ni mashemeji zetu wametuzalia wakina uncle. 🤣
 
Huyo DJ ni nani?
 
Mrudi kwenu Full stop Bila mkato.
 
Na hapa ndio tatizo lilipoanzia, mkishaonaga tu zile figure namba nane na kiuno nyigu.... baasi mnachanganyikiwa mnawahonga mpaka na passport zetu kabisa
Si unaona figure zenyewe zilivyo mkuu? Nzi kufia kwenye kidonda ni ujasiri.
 

Matatizo yote haya yamesababishwa na Serikali iliyopo madarakani kwa kukosa kuwajibika ipasavyo katika masuala ya Msingi katika nchi hii ya Tanzania.

Siyo Siri hata kidogo, Tanzania kuna Mifumo dhaifu Sana kupita kiasi kwenye suala zima la Mchakato wa Utambuzi wa Raia wake. Serikali ilichelewa Sana kuanzisha Mfumo mzuri na ulio dhabiti katika Utambuzi wa Watu wake. Mamlaka za Utambuzi wa Watu Kama vile NIDA ilipaswa kuanzishwa mara moja wakati nchi hii ya Tanzania ilipopata Uhuru wake kutoka kwa Wakoloni. NIDA ilichelewa sana kuanzishwa. NIDA ilianzishwa kwa kuchelewa Sana wakati kila kitu kilikuwa tayari kimeharibika.
 
Mimi ningewarudisha nyumbani kwao. Suala sijui nchi yao ndogo hayo ni matatizo yao watajua wenyewe.
 
Sasa kwao ardhi ndogo haiwatoshi itawezekana vipi wapewe wageni?
Sisi ardhi kuubwa na hatuitumii vizuri.
Mapori huenda yapo zaidi ya 40%.
Watusi wanapewa ardhi huko vijijin wanaishi nenden Rwanda kama mtapewa ardhi
 
Hatutofautiani!

Kutoka na sababu za usalama wa nchi, hii jamii siipendi hata kidogo.

Ningekuwa na mamlaka wote wangerudi nyumbani kwao hivyo hivyo!

Kama nchi yao ndogo watajijua wenyewe huko huko na matatizo yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…