Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Nina rafiki niliosoma nao wenye asili ya huko. Ukubwani huku wamerudisha mapenzi ya kwao na hasa ukizingatia kuna umoja wa watu wa huko. Kiuhalisia hata muwe na uraia wa hapa Tz na kupata kazi mamlaka za juu bado mioyo yenu inakuwa Rwanda
 
Hilo ni kitu huwa najiuliza sana ni kama wapemba na uarabuni,yaani wanyaranda ni wazalendo kwa nchi yao kupitiliza.mimi mwenyewe kuna sumaku inanivuta kuishi huku japo ninezaliwa pwani
 
Another load of Bull-Crap.

Not every Tutsi or Hutu come from Rwanda-Urundi. Some of them were subjects of Buha Kingdom of TZ, Empire of Bunyoro-Kitara in UG and some Buganda Kingdom in UG.

Huu upuuzi wa kusema kila Mtutsi ni Mnyarwanda au Mrundi mnao tu ninyi watanganyika.​
 
Hamuaminiki
 
Kila la kheri,museveni na kagame nani atakubali kupoteza urais ,au itakuwa kama tangantika na zanzibar,kila nchi ibaki na rais wake,
Hao hawana tatizo wtakubali tu.Tatizo ni kizimkazi atasumbua kutoka.Si unaona hata alivyofanya sarakasi kule Dodoma kukiuka kanuni za chama Kwa kujiteua mwenyewe pasipo kushindwanishwa.
 
Asilimia kubwa wamezaliwa Tanzania,kyna waluokuja 1994 kama wakimbizi,kuna waliokuja kitambo kabla na baada ya uhuru
Kama aliingia kama mkimbizi akapewa hifadhi ya ukimbizi bado hawezi kuwa raia bila kupewa uraia. Hata kizazi chake hakiwezi kuwa raia kwa sababu Toka mwanzo waliingia kama wakimbizi na hivyo wanahesabiwa hivyo mpaka warudishwe makwao au wapewe uraia. Wapo waliopewa ila sio wengi kihivyo. Rwanda Kuna amani so hakuna sababu kwa nini wasirudi makwao.
 
Asilimia kubwa wamezaliwa Tanzania,kyna waluokuja 1994 kama wakimbizi,kuna waliokuja kitambo kabla na baada ya uhuru
Kwa walioingia kabla ya uhuru ni rahisi kupata uraia maana sheria yetu ya uraia ilisema yeyote aliyekutwa kwenye mipaka ya Tanganyika siku ya uhuru ni Mtanganyika. Suala ni waliokuja baada ya tangazo la uhuru hata wafanyaje hawawezi kuwa raia bila kupewa huo uraia. Ndo maana Kibu Dennis unaona alipewa uraia wa Tanzania kwa sababu alikuja kama mkimbizi Tanzania.
 
Rwanda hakuna ardhi,watutsi ni wafugaji kwa asili,mtu na mifugo kama 500+ kwenye pori lajahama au kimisi unamrudishaje kwao
 
Rwanda hakuna ardhi,watutsi ni wafugaji kwa asili,mtu na mifugo kama 500+ kwenye pori lajahama au kimisi unamrudishaje kwao
Sio tatizo letu kwamba hakuna ardhi. We did not create the boundaries but we will stop at nothing to safeguard them. You are partly to blame for what is happening around your neighborhood especially In congo. You are greedy and that is your downfall.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…