Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Ndiyo ujue aina ya watu walioko kwenye jamii yetu, kumbe jamii ndiyo inatakiwa ibuni mbinu za kukabiliana na changamoto zilizopo na zitakazo kujaNdo umeongea nini Sasa ???
Pengine hujaelewa nilichokiandika rudia kusoma [sijawataja majina hapa hao watu wenye nafasi kubwa ambao wanaziongoza hizo ofisi wakiwa ni watanzani wa kuzaliwa ila kwa sasa sio watanzania tena]Ajira zinazolipa vizuri ni kampuni za kimataifa hizo hazijali uraia wa mtu ni hapa kazi tu ulichoandika ni nje ya mada
Mashirika hayo hayo yanayopata ripoti za wizi na hasara kutoka kwa CAG mwaka huu na mwaka ujao hakuna mabadiliko?Mleta mada anaongelea watanzania kuwa ma CEO wa makampuni ya kimataifa sio ya ndani kama TRA au treni ya mwendo kasi au shirika la masoko la kariakoo nk
Ha ha ha
Ndo anafanya watanzania wasiweze kuendesha miradi mikubwa Kwa faida Hadi ya Mabasi NDANI mji mmoja ???Nimegundua kwamba paskali chawa wa CEO wa helios Tower 😀 😀 😀
Sisi tunaandaa chawa pekeeHapa tunao Chawa tu
Chawa hawaandaliwi ni mibwege fulani hivi mitafuta vyeo serikalini na kwenye vyama kiwe tawala au upinzani ikidhani kuwa kupata vyeo unatakiwa kuwa mwimbaji na mtunga nyimbo za kusifu na kuabudu kiongozi unayedhani aweza kukubeba upate cheoSisi tunaandaa chawa pekee
Wanahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataWewe umeongea vizuri tuu watz wenye uwezo wa ku-run business tupo wengi tuu.ila siyo kwenye taasis za serikali Siyo Zile zinazoitwa Government Business Entities "GBE"
Huko wanafundishwa coruption na wanasiasa ambao ndiyo wasimamizi wakubwa.Waziri wa wizara husika kila siku anataka apewe fedha.Hata miradi tuu ya maendeleo inakwama hapo.yaani mawaziri unawaona mqjukwani kama watu wa maana ila ni wa hovyo sana inqookuja kwenye maadili
Maahirika haya yote yanayofanya biashara
ikiwezekana hata vyuo vikuu yalitakiwa yote yasiwe chini ya wizara yoyote,ila yawe labda chini ya wizara moja tuu ya fedha chini ya Treasury Registra.
usumbufu wa wanasiasa ndiyo unaou mashirika.
Kingine ilibidi nafasi zao zitangazwe na wapewe wasimamizi huru wa usaili( Independent Hiring Consultancy company)
Vinginevyo ni ujinga mtuupu na hasara tupu.mgao wa kwenda serikalini kama faida watakuwa wanamega mtaji wala siyo faida
Sio kweli kuna watanzania nawajua waliomba nafasi nje ya nchi kwenye makampuni ya nje wakaajiriwa nje ziliko ofisi zao..miaka 10 ijayo utaanza kuwaona ktk hizo nafasi.
..hayo makampuni inabidi yawepo Tanzania kwa muda mrefu, na Watz wawe humo ndani wakipanda ngazi za kimajukumu.
Ni kweli, mimi kiukweli uzalendo ndio umeniponza, nimeoa 1995, couple yetu wote ni wanahabari, 1996 tukatinga Bush House, London nikapewa offers, UK nikaona kumenikalia kushoto nikarudi Bongo.Tatizo ni uthubutu kuomba kazi kampuni za kimataifa ndio maana hata Pascal Mayala anayejiita mwandishi wa habari nguli uswahilini Tanzania anaishia tu kuandika vihabari uchwara vya ndani ya nchi vyombo vya habari vya ndani hajawahi ajiliwa BBC au Voice of America nk kama akina Kikeke nk
ni kweli ila siandikii vigazeti, naandikia magazeti 6, Redio 5, TV 8 na blogs 5 vyote ni mainstream media.Wenzie wamestaafu vyombo vya habari vya kimataifa wanalipwa monthly pensions kwa dola yeye anauza sura tu jamii forums na vigazeti vya uswahilini
Hapa tunao Chawa tu
'Hawakurogwa au kupigwa majini? Wako wapi hao watu maana tuna allergy na watu wanaopenda kutumia akili zao kufikiriSio kweli kuna watanzania nawajua waliomba nafasi nje ya nchi kwenye makampuni ya nje wakaajiriwa nje ziliko ofisi zao
Baadaye hizo kampuni zikataka kuwekeza Tanzania wakaletwa.kama mabosi wa Tanzania au East and Central Africa branch waajiriwa wa head office makao makuu ya kampuni ya nje wakilipwa dola head office sio Tanzania shillings sababu ajira zao sio local wameletwa tu kama branch bosses kama ambavyo angeletwa mzungu asiye raia wa Tanzania kuwa branch head wa foreign company
Huwezi kuvuna potential za watu na kuzitumia ipasavyo kwa kuendekeza uchawa na mambo ya kipuuzi ya ccm ya zidumu fikra za mwenyekiti wa mbogamboga , ni foolishnessWanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo.
View attachment 3110071
Huu ni muendelezo wa sisi Watanzania kujitathmini uwezo wetu wa uongozi kwenye corporate level, jee Watanzania tuna uwezo wa kuongoza makampuni makubwa profitability, kama ATCL, SGR, TAZARA etc na yaka oparate kwa faida.
Kampuni ya Helios Towers Tanzania ni Kampuni ya kimataifa ya Uingereza, iko kwenye nchi 8 barani Afrika na Oman Arabuni. CEO wa Helios Towers ni Mtanzania, Gwakisa Stadi ambaye pia ni Boss wa Helios Towers Kanda ya Afrika Mashariki. Kati ya hizo nchi 8 za Afrika ambazo Helios Towers wapo, Ma CEO 3 ni Watanzania na habari njema zaidi ni hata CEO wa kwanza aliyeanzisha Helios Towers Oman, ni Mtanzania!.
Huu ni uthibitisho kuwa Watanzania tunaweza!. Kama Watanzania wameweza kwenye Helios Towers, huko kuingine kote Watanzania tunashindwa nini?.
Paskali
Hizo ulizotaja ni main foreign media za nchi gani au ni local media ?Hebu fafanua moja moja kuwa hii ni main media ya nchi gani? Kwenye hizo umetaja au unaandikia tu vi local media vya Tanzaniani kweli ila siandikii vigazeti, naandikia magazeti 6, Redio 5, TV 8 na blogs 5 vyote ni mainstream media.
P
Sasa ndo umeongea nini hapoWakristo wanashika top ten ya matajiri wote Tanzania, watumishi wengi serikalini ambao ni wasomi wazuri ni wakristo,serikali haina ufisadi sababu wakristo ni wahaminifu kwa jina la yesu, Samia hadi 2040
Sio kweli kuna watanzania nawajua waliomba nafasi nje ya nchi kwenye makampuni ya nje wakaajiriwa nje ziliko ofisi zao
Baadaye hizo kampuni zikataka kuwekeza Tanzania wakaletwa.kama mabosi wa Tanzania au East and Central Africa branch waajiriwa wa head office makao makuu ya kampuni ya nje wakilipwa dola head office sio Tanzania shillings sababu ajira zao sio local wameletwa tu kama branch bosses kama ambavyo angeletwa mzungu asiye raia wa Tanzania kuwa branch head wa foreign company
Na sisi tulioko private sectors, siku unaenda serikalini, wallah utarogwa..!! mtu ushajizoelea kujiwekea targets za siku, wiki, mwezi, mwaka etc. na unazimaliza. Huko serikalini, ikifika hatua target yako moja au zaidi inahitaji mtu nje ya wewe kwenye hatua fulani, hapo ndo utakwamia.Kwenye telecom, hakuna blablabla, kama serikalini, huku issues zinatafutiwa solutions, anayeleta madudu anaadhibiwa fasta, maana ukiruhusu madudu, unakosa mapato,kampuni inakufa, kila mfanyakazi, anajua juhudi zake kuhakikisha hakuna fuckups, ndio kampuni inasonga mbele,
Serikalini, kwanza kuna politics nyingi, mtaani kwangu, senior retired civil servants, hawalipi bill za maji, wala umeme, wanatumia bureeee, serikalini, hata usipojishughrisha Sana, salary will come, ukitibua Sana, unahamishwa tu, hakuna "owner ship" Ya task Fulani, madudu y akitokea, hujui nani atumbuliwe, kuna mlolongo mreeefu wa protocali!
Telecom, kuna clear standard operation procedures SOP, ikitokea shida tu, aliyechemka, anaanza kuwajibika, kurekebisha, kabla Mambo hayajawa mabaya!
Tatizo linaweza likatokea kwenye mnara Kyelwa mrongo border, inaweza ikawa issue ya pesa kibao, itasoviwa kwa conference call btn wahusika, hakuna eti MTU atoke Dar aende ziarani kagera, kote huko kuna watendaji, mnazungumza kupitia conference call, aliyechemka, anapata adhabu halo halo, kama kibarua kinaota nyasi, ni, hapo hapo uamuzi, unatoka,! No time to waste
Yeah