Watanzania wenye vipato vya chini wanao somesha English Mediums wanateseka hadi nawaonea huruma

Sahihi chukua mtoto wa darasa la saba kayumba waongee kiingereza na mtoto wa English medium darasa la pili

Kitoto cha English Medium kitamtoa knock out huyo darasa la saba wa kayumba
Vinaongea kingereza kilichonyooka na vinajiamini.
Mimi binti yangu yupo stage 3,ana 4 years ninalonga nae ngeli smoothly, kabisa,tusipangiane,kijana wangu wa kwanza anaingia kidato cha tatu wenzake waliosoma pale janja janja hawawezi chukua kitabu ukiondoa cha kiswahili wakasoma na kukielewa ukilinganishwa na yeye
 
Km.wtt walishapata msingi skuli za EM ukiwapeleka Kayumba wanatusua tu kama kawaida.
Mie pia nna mpango huo. Nasubiri wajivute walau mpk la 7 Insha'Allah
Hii idea nnayo zamani tu

Good
 
Walimu wenyewe wa English Medium wamesoma Kayumba. Maneno ya mlevi mmoja

Tutafute hela wakuu, tupeleke watoto shule za mabasi ya njano ambapo wanakula, wanasoma mazingira rafiki na wanajifunza lugha ya kiingereza.
Wanakula wali na kuku broilers kila siku. Kuku broilers = Deadly chemicals.

YOU are just happily paying ur hard earned money for your kids to be poisoned
 
Mimi binti yangu yupo stage 3,ana 4 years ninalonga nae ngeli smoothly, kabisa,tusipangiane,kijana wangu wa kwanza anaingia kidato cha tatu wenzake waliosoma pale janja janja hawawezi chukua kitabu ukiondoa cha kiswahili wakasoma na kukielewa ukilinganishwa na yeye
Miaka yote wanaoongoza kiwilaya,kimkoa,kitaifa somo la kiswahili ni English Medium unakuta wana A ya kingereza na A ya kiswahili

Kiswahili wakiweza vizuri na kingereza pia

Anayebisha awe anaangalia matokeo ya Necta yakitoka nani wanaongoza ufaulu wa kiswahiki.kwenye shule zilizoko eneo lako ni za serikali au za English medium? Asijipe pressure Apitie tu hata matokeo tu ya mwaka jana tu uone shule za eneo lako liwe la kata shule zipi wamefaulu sana somo la kiswahili?
 
Wanakula wali na kuku broilers kila siku. Kuku broilers = Deadly chemicals.

YOU are just happily paying ur hard earned money for your kids to be poisoned
Afya ya akili mbona inakuwa nzuri kuliko hao wa kayumba kiasi kuwa performance yao kubwa kuliko hao wasiokula wali na broilers

Tafuta pesa wewe umaskini sio deal
 
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.

Shoga zangu tuliokuwa tunasomesha wote EM karibu wote wamewarudisha Kayumba wanao wamebaki wachache ambao eti wanaogopa kuchekwa wataonekana wameshindwa maisha ila mateso Yao Sio ya dunia hii, mikopo kama yote, wananuka madeni na ndani hawana asset, hawana viwanja watoto wanalala chini ilimradi wasome EM..

Sasa najiuliza mateso yote hayo ya Nini wakati hata Kayumba wanaweza soma vizuri tu na Chuo wakafika kama.wanavyo fika wengine.

Poleni Sana watanzania wenzangu ambao bado mpo kwenye utumwa huo. Mungu awaongoze Sana mshituke mapema.

Sisemi kusomesha mtoto EM ni Vibaya ila Uwe na uwezo mkubwa Sana WA kifedha na assets za kutosha.
issue ni kutaka et watoto waongee kuzingu hahah...kizungu alaf wanalala chini? mbaya zaidi wanaweza soma EM na bado wakawa vilaza tuu.

nina jirani hapa last year alikuwa ad analala njaa kisa mtoto mmojja kusoma EM...sasa matokeo ya mwisho wa mwaka kawa wa mwishi, ni hakuna anachojua zaidi ya kuhesabu 1-20 in englisha labda na jina jina lake tuuu
 
Kiingereza anaweza jifunza hata akiwa kayumba. Jiulize hawa ma daktari wetu na ma engineer je walisoma english medium ?
Wengi wenu hamjui kingereza, Kuna Dr. Anasimamia wanafunzi wachina na mataifa yasiyojua kishazi huru, anajing'ata ng'ata kila wakimuhoji maswali anatumia ishara!
 
Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.

Shoga zangu tuliokuwa tunasomesha wote EM karibu wote wamewarudisha Kayumba wanao wamebaki wachache ambao eti wanaogopa kuchekwa wataonekana wameshindwa maisha ila mateso Yao Sio ya dunia hii, mikopo kama yote, wananuka madeni na ndani hawana asset, hawana viwanja watoto wanalala chini ilimradi wasome EM..

Sasa najiuliza mateso yote hayo ya Nini wakati hata Kayumba wanaweza soma vizuri tu na Chuo wakafika kama.wanavyo fika wengine.

Poleni Sana watanzania wenzangu ambao bado mpo kwenye utumwa huo. Mungu awaongoze Sana mshituke mapema.

Sisemi kusomesha mtoto EM ni Vibaya ila Uwe na uwezo mkubwa Sana WA kifedha na assets za kutosha.
Nikweli kile wakisema shida kubwa ya Tz niushamba na kupenda mashindano. Yaani Tz ukikutana na haka kakundi umepotea unakuta mdada anamaisha ya dhiki anamiliki Iphne tena macho matatu alafu anakuja kukopa kwa mangi kulipa majaliwa. Kiukweli inasikitisha.

Tz mtu ananunuaa gari ya hata 80m ila anakaa nyumba yakupanga masaki tena anakula kwenye mogahawa ya bei kali hapa mjini... huku akivinjari na toto kali wakati mama anakula mboga majani na kibanda cha manyasi.

Usione mawaziri ukaogopa wala usione wabunge ukaogopa wengi wana mikopo mikubwa sana na wanatumia pesa mingi kuwepo ktk status zao. Ukimuona waziri alie tolewa kwenye ulingo after 5years nje ya ulingo inatia huruma

Wafanyakaz ndio shida kabisa mtu akisha staafu anagawa pesa kwa watoto kama mtaji jamani kweli? Nabado watoto wana watelekeza mzee mmoja wizarani alikuwa amesomesha mtoto nje siku moja anaomba msaada wa mtoto akamwambia baba hukujipanga mzee alipanic sana sio siri
 
Structure ya kuja kuwa boss haitegemei tu hiyo Elimu kubwa na unavyojitutumua ujue ya kuwa huko makazini watu wapo kila mwaka wanaenda shule tena wenzako wanachungulia fursa iliyopo hapo kitengoni kwao ndo wanaomba kwenda shule.
Najua vizuri sana hivyo vitu
Mfanyakazi ukimruhusu kwenda kusoma mfano mwaka na kazi zikaendelea kama kawaida maana yake huyo ni excess staff akitaka kwenda kusoma unamwachisha kazi kabisa

Ndio maana kwenye private sector wakihitaji.mtu mfano wa masters au Phd wanatangaza tu hawapotezi muda kusomesha au mtu achukue likizo akasone kwa hela yake.Swali. likiwa akiondoka nafasi yake anashika nani? Kama atakuwepo huyo ni excess staff mzigo tu kwa taasisi aende zake huko

Pili kusema ooh kuna watu wana uzoefu hao hufanya kazi kwa mazoea ya digrii zao walizosoma miaka 10,au 20 au 30 iliyopita

Elimu hubadilika syllabus mpya huja teknolojia mpya huja .Ndio taasisi zinazojielewa baada ya muda huajiri damu mpya na wasomi wapya ndio maana hutoa kazi kwa mikataba sio unafanya hadi ufie ofisini na kidigrii chako cha miaka 10 ,20 nk iliyopita hiyo degree inakuwa obsolete
 
Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.

Shoga zangu tuliokuwa tunasomesha wote EM karibu wote wamewarudisha Kayumba wanao wamebaki wachache ambao eti wanaogopa kuchekwa wataonekana wameshindwa maisha ila mateso Yao Sio ya dunia hii, mikopo kama yote, wananuka madeni na ndani hawana asset, hawana viwanja watoto wanalala chini ilimradi wasome EM..

Sasa najiuliza mateso yote hayo ya Nini wakati hata Kayumba wanaweza soma vizuri tu na Chuo wakafika kama.wanavyo fika wengine.

Poleni Sana watanzania wenzangu ambao bado mpo kwenye utumwa huo. Mungu awaongoze Sana mshituke mapema.

Sisemi kusomesha mtoto EM ni Vibaya ila Uwe na uwezo mkubwa Sana WA kifedha na assets za kutosha.
Wewe una tatizo la kiafrika la kuupenda sana umaskini na kujiona maskini halafu unashangaa kwanini nchi ni maskini.

Unapoona ni jambo jema watoto wako kusoma shule za St. Kayumba na unajivunia, lini utalalamika kuhusu ukosefu wa imeme, maji na barabara mbovu?
 
Najua vizuri sana hivyo vitu
Mfanyakazi ukimruhusu kwenda kusoma mfano mwaka na kazi zikaendelea kama kawaida maana yake huyo ni excess staff akitaka kwenda kusoma unamwachisha kazi kabisa

Ndio maana kwenye private sector wakihitaji.mtu mfano wa masters au Phd wanatangaza tu hawapotezi muda kusomesha au mtu achukue likizo akasone kwa hela yake.Swali. likiwa akiondoka nafasi yake anashika nani? Kama atakuwepo huyo ni excess staff mzigo tu kwa taasisi aende zake huko

Pili kusema ooh kuna watu wana uzoefu hao hufanya kazi kwa mazoea ya digrii zao walizosoma miaka 10,au 20 au 30 iliyopita

Elimu hubadilika syllabus mpya huja teknolojia mpya huja .Ndio taasisi zinazojielewa baada ya muda huajiri damu mpya na wasomi wapya ndio maana hutoa kazi kwa mikataba sio unafanya hadi ufie ofisini na kidigrii chako cha miaka 10 ,20 nk iliyopita hiyo degree inakuwa obsolete
Huko private kama huna komection ya mjomba sahau ndugu,Kuna mwenzako alipiga masters akaenda hapo jalalani kupiga ulecture ila juzi kaomba ajira za TRA🤗🤗🤗 Kwa cheti cha degree.

Hizo ajira zisizo na mikataba ya kuelewa leo upo kesho haupo lazima utapoteana.
 
Miaka yote wanaoongoza kiwilaya,kimkoa,kitaifa somo la kiswahili ni English Medium unakuta wana A ya kingereza na A ya kiswahili

Kiswahili wakiweza vizuri na kingereza pia

Anayebisha awe anaangalia matokeo ya Necta yakitoka nani wanaongoza ufaulu wa kiswahiki.kwenye shule zilizoko eneo lako ni za serikali au za English medium? Asijipe pressure Apitie tu hata matokeo tu ya mwaka jana tu uone shule za eneo lako liwe la kata shule zipi wamefaulu sana somo la kiswahili?
Ufaulu wote shule za English medium ndio zinaongoza,hata ubora wa A Ya mwanafunzi wa chamwino ni tofauti na Martin Luther
 
Waache wenye hela wawapeleke kama huna usitafute wafuasi wa kayumba..kila mtu akae kwny mstari wake...
Kuna shida baadhi ya familia au koo hawajui wafanyaje kuvunja viscious circle ya umaskini na kupata mtandao wa wenye hela na walioko madarakani

Moja ya njia ni kusomesha English Medium wanakosona hao wenye nazo waajiri na mabosi serikalini, bungeni na mahakama na wafanyabiashara wakubwa mtoto aanze kuwa na mtandao wa wenye nazo na madaraka wawe wa mtaani ,wilaya, mkoa au kitaifa .

Mtu anasomesna mtoto kayumba kwa mawazo ya kimaskini utaskia oooh akienda chuo atapewa mkopo wa bodi ya mikopo anajiona ana akili na ushauri wake wa kibwege

Mwisho wa siku sababu kamsomesha mtoto kayumba shule mbaya anaishia kupata matokeo mabaya ambayo hayamuwezeshi hata kwenda chuo kikuu apate huo mkopo kisa kaamini wanasiasa waongo ambao watoto wao hawasomeshi kayumba kuanzia wabunge,mawaziri majaji nk

Cha kuambiwa changanya na zako

Kama Kayumba nzuri kwa nini wabunge ,mawaziri wakiwemo mawaziri wa elimu ,majaji nk hawapeleki watoto wao kayumba wanapeleleka English Medium

Mtu anatakiwa kushtuka
 
Hivi unajua pale Udsm wanafunzi wengi wametokea Kayumba?

Alafu Kayumba Akiwa kichwa ujue ni kichwa kweli.

Mchukue kichwa wa Kayumba aliyepata One ya 7 alafu mchukue wa St. Aliyepata one ya 7 waweke waparangane Uone kama huyo wa St ataambulia chochote.

Pale Udsm au nenda Mzumbe Waliosoma EM hupata wakati mgumu Sana kukabiliana na mazingira ya chuoni.
Labda kama wakimaliza wanaenda kujiajiri. Kazi ipo kwenye interview kampuni za wageni zenye mishahara minono!
 
Back
Top Bottom