Watanzania wenye vipato vya chini wanao somesha English Mediums wanateseka hadi nawaonea huruma

Una uhakika?
 
Nafikiria kumhamishia Katumba ila nitafute Mwalimu ambae anaonekana ni mzuri Kwa English na Mathematics Ili wawe wanawapiga msasa nyumbani hususani vipindi vya likizo na weekend.
 
Wanateseka mno! Unakuta mtu anakopa ada anahangaika kulipa watoto wanapigwa vibaya mno wakifeli
 
Kwann uwaonee huruma, jambo zuri linamchakato
 
Mtoa mada hutakiwi kumuonea huruma mtu mjinga mwache ateswke Hadi akili zikae sawa.
 
Serekali inajenga shule za EM kwa speed kubwa sana. Ni muda mfupi tu itakuwa kila halmashauri ina shule kadhaa za English na bei nzuri
 
Kama huu mwezi Januari mpaka Febuari wanachanganyokiwa kabisa.
Hivi ni nani kawaroga hawa wajinga?
Unaingiaje kwenye vita na Taifa ambalo limekuzidi nguvu?
Someni Biblia mpate hekima

hakika kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa, na pia watu hupotea kwa kukosa maarifa. (maarifa ya KiUngu)
 

Hapa sasa wewe ndo umeusema ukweli wote. Watu wasomesha watoto wao kulingana na vipato vyao. Siyo wale wanaokuja bla blaa nyingi kwamba EM hakuna chochote ondoe watoto wenu humo.

Watu waendeshe maisha yao kulingana na vipato vyao, siyo kuiga wengine wanafanya nini na wewe ufanye, ni mateso sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…