ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Una uhakika?Kwa hali ya Sasa ilivyo haiepukiki kumtafutia mtoto elimu Bora ili aje ajisaidie siku za usoni huko.
Serikali haionyeshi u serious wowote kuboresha mfumo wa elimu kwenye public schools ili angalau kuwapunguzia wananchi mzigo, baadala yake wanaendekeza siasa wakati uhalisia wa hizi shule za serikali Kila mtu anauona.