APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
Wanajamii forum shikamoniiii woteeee...
Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani, kama una uwezo mkubwa, weka angalau chakula cha mwezi au miezi kadhaa mbele, dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.
Mambo yamebadilika tupo kwenye dunia ya zama za mwisho, vita vya 3 vya dunia vinakuja soon, nachokiandika hapa nitaonekana upuuzi ila kisemwacho kipo, hali kenya sio powah wananchi wa kenya washaanza kukopa ela Bank na kununua vyakula, kwao hali sio powah na Kenya ni majirani zetu kinachowakuta Kenya nasi kinatuathiri, tubadilikeni Watanzania