Watanzania wenzangu tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani

Watanzania wenzangu tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani

Ha ha ha

Hawa ndiyo hufikiri kujenga wakati kipato hakirugusu. woga wa maisha ni tazito kubwa kwa watanzania wengi.
Sawa mimi muoga,ila bwana fuso,mafuso yako hayatapeleka chakula mikoani
 
Siku ya siku ndipo utajua mende wanaliwa, wenzako wanafuga na wanasafirisha wewe kaa unafikiria mende wa chooni.
Nilipo sema upo sawa umenielewa vibaya,nilikuwa namaanisha upo good kabisa,mende ni deal nows day
 
Usiwe muoga...hakuna vita ya 3 ya Dunia...hakuna nchi Duniani hata kama ni tajiri naomna gani inataka kusikia kitu kinaitwq vita vikuu vya 3 vya Dunia.
Ok kuna mtu alitabiri huku kuwa itatokea ajali yaa ndege wengi walimpinga ila baadae ndo wakajua kuwa hawajui
 
Huku jamii kuna wapingaji wa mambo,wenye akili za ubishi tuu
 
Wanajamii forum shikamoniiii woteeee...

Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani,kama una uwezo mkubwa,weka angalau chakula cha mwenzi au miezi kadhaa mbele,dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.

Mambo yamebadilika tupo kwenye dunia ya zama za mwisho, vita vya 3 vya dunia vinakuja soon, nachokiandika hapa nitaonekana upuuzi ila kisemwacho kipo, hali kenya sio powah wananchi wa kenya washaanza kukopa ela Bank na kununua vyakula, kwao hali sio powah na kenya ni majirani zetu kinachowakuta kenya nasi kinatuathiri, tubadilikeni Watanzania
Bangi sh ngapi kwenu huko!?
 
Back
Top Bottom