Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,926
- 4,110
Ukikuta mtu anatukana matusi ovyo ujue umaskini wa akili unamsumbua.Acha uoga fala wewe
Ukikuta mtu anatukana matusi ovyo ujue umaskini wa akili unamsumbua.Acha uoga fala wewe
Sawa mama mdogoUkikuta mtu anatukana matusi ovyo ujue umaskini wa akili unamsumbua.
Wanajamii forum shikamoniiii woteeee...
Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani, kama una uwezo mkubwa, weka angalau chakula cha mwezi au miezi kadhaa mbele, dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.
Mambo yamebadilika tupo kwenye dunia ya zama za mwisho, vita vya 3 vya dunia vinakuja soon, nachokiandika hapa nitaonekana upuuzi ila kisemwacho kipo, hali kenya sio powah wananchi wa kenya washaanza kukopa ela Bank na kununua vyakula, kwao hali sio powah na Kenya ni majirani zetu kinachowakuta Kenya nasi kinatuathiri, tubadilikeni Watanzania
Hahahaha anagwaya battle.Acha uoga fala wewe
JF imeshakuwa FBAcha uoga fala wewe
Vita itakuwa imeisha baada ya hiyo miezi mitatu?Mimi nina akiba ya miezi 3 mbele
Dah kweliHakuna mtu hapo, unamjibu mpumbavu
Sitaki battle na sidiriaTafuta pesa uwache kukaa na chakula ndani kama upo kwenye meli
Dah kweli
Una macho una maskio wewe sio mtotoHayo mambo ya vita ya 3 ya dunia umeyatoa wap mkuu,hayo hayatakiwi kukukuta ukiwa hai mzee,unataka uishi miaka mingap mkuu ww sio mlinz wa dunia
Battle na sidiria huwa sipendiHahahaha anagwaya battle.
Tafuta pesa uwache kushobokea wanaume jfTafuta pesa uwache kukaa na chakula ndani kama upo kwenye meli
FactUkikuta mtu anatukana matusi ovyo ujue umaskini wa akili unamsumbua.