APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
Mzee mbona matusi??Acha makasiriko tafuta pesa uache kutukana watu jamii,sisi huku kama tunafunguana akiliAcha uoga fala wewe
Mtu kuwekea akiba sio mbaya maana unajipanga kwa nyakati zijazoMnataka kuleta mfumuko wa Bei nyie 😃😃 huu uliopo wenyewe ni mkali balaa !
Mkuu ulichokisema ni sawa kabisa,mtu ukimwambia weka akiba ya chakula anakuona muoga,tatizo likishatokea ndo wanaanza kulilia serikaliUsiwe na mahangaiko na mfadhaiko kiasi hicho kuwa na usawaziko ni kweli ni muhimu kuweka stoke ya misosi ila sababu kubwa iwe ni kwamba mvua inakuja hivo vitu vitapanda bei sio mkaa sio vyakula...siku zote tujiandae kwa nyakati za dharura...
Hakuna neno linalomtoka mtu mdomoni likawa la kipuuziMkuu watakuja kusema ulisema
Wafanyabiashara wapo ki mahesabuWanajamii forum shikamoniiii woteeee...
Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani,kama una uwezo mkubwa,weka angalau chakula cha mwenzi au miezi kadhaa mbele,dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.
Mambo yamebadilika tupo kwenye dunia ya zama za mwisho, vita vya 3 vya dunia vinakuja soon, nachokiandika hapa nitaonekana upuuzi ila kisemwacho kipo, hali kenya sio powah wananchi wa kenya washaanza kukopa ela Bank na kununua vyakula, kwao hali sio powah na kenya ni majirani zetu kinachowakuta kenya nasi kinatuathiri, tubadilikeni Watanzania
Hii haihusiki nawafanya biashara ni bora kujipanga mda huu sio mpaka hali ishaanza kuwa mbaya ndo unaenda kununua dukani lazima wakupige tuWafanyabiashara wapo ki mahesabu
Mkuu kenya hali sio nzuri kwa kweliShida ni nini? kiangazi au wakulima hawataki kulima?
Huu si utani utakuja kuniomba mboga, nimekusanya maboksi kisha nimeyafungia kwenye chuma kisichotumika ila hakifai kuishi kwani kina unyevunyevu na giza, kifuatacho ni ufugaji wa mende(prawns wa bara) bila jasho ambao siku ya siku nitakuwa na chakula bora, proteni na mambo yakizidi nitapanda uyoga kama nilivyosema chumba kinafaa.Wanajamii forum shikamoniiii woteeee...
Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani,kama una uwezo mkubwa,weka angalau chakula cha mwenzi au miezi kadhaa mbele,dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.
Mambo yamebadilika tupo kwenye dunia ya zama za mwisho, vita vya 3 vya dunia vinakuja soon, nachokiandika hapa nitaonekana upuuzi ila kisemwacho kipo, hali kenya sio powah wananchi wa kenya washaanza kukopa ela Bank na kununua vyakula, kwao hali sio powah na kenya ni majirani zetu kinachowakuta kenya nasi kinatuathiri, tubadilikeni Watanzania
Mwenye sikio na asikie....Wanajamii forum shikamoniiii woteeee...
Wantanzania wenzangu naombeni tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani,kama una uwezo mkubwa,weka angalau chakula cha mwenzi au miezi kadhaa mbele,dunia tunayoishi hii sio ile dunia ya zamani, kulikuwa hakuna tabu ya chakula hata.
Mambo yamebadilika tupo kwenye dunia ya zama za mwisho, vita vya 3 vya dunia vinakuja soon, nachokiandika hapa nitaonekana upuuzi ila kisemwacho kipo, hali kenya sio powah wananchi wa kenya washaanza kukopa ela Bank na kununua vyakula, kwao hali sio powah na kenya ni majirani zetu kinachowakuta kenya nasi kinatuathiri, tubadilikeni Watanzania
Mkuu upo sawaHuu si utani utakuja kuniomba mboga, nimekusanya maboksi kisha nimeyafungia kwenye chuma kisichotumika ila hakifai kuishi kwani kina unyevunyevu na giza, kifuatacho ni ufugaji wa mende(prawns wa bara) bila jasho ambao siku ya siku nitakuwa na chakula bora, proteni na mambo yakizidi nitapanda uyoga kama nilivyosema chumba kinafaa.
Ha ha haAcha uoga fala wewe