Watanzania wenzangu tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani

Ha ha ha

Hawa ndiyo hufikiri kujenga wakati kipato hakirugusu. woga wa maisha ni tazito kubwa kwa watanzania wengi.
Sawa mimi muoga,ila bwana fuso,mafuso yako hayatapeleka chakula mikoani
 
Siku ya siku ndipo utajua mende wanaliwa, wenzako wanafuga na wanasafirisha wewe kaa unafikiria mende wa chooni.
Nilipo sema upo sawa umenielewa vibaya,nilikuwa namaanisha upo good kabisa,mende ni deal nows day
 
Usiwe muoga...hakuna vita ya 3 ya Dunia...hakuna nchi Duniani hata kama ni tajiri naomna gani inataka kusikia kitu kinaitwq vita vikuu vya 3 vya Dunia.
Ok kuna mtu alitabiri huku kuwa itatokea ajali yaa ndege wengi walimpinga ila baadae ndo wakajua kuwa hawajui
 
Huku jamii kuna wapingaji wa mambo,wenye akili za ubishi tuu
 
Bangi sh ngapi kwenu huko!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…