Watanzania wenzangu tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani


Vita ya 3 ya dunia inakuja lini?
 
Ha ha ha

Hawa ndiyo hufikiri kujenga wakati hata kipato chao hakiruhusu. woga wa maisha ni tazito kubwa kwa watanzania wengi.
Anataka tisha watu wakati Tz bado hali ya chakula iko vizuri
 
Kenya nimeona wameanza kusaga majani na kufanya unga wa ugali
 
Huenda vinakuja Vita vya Nyukilia huyu anaweza kuwa Nabii mwingine wa JF

Wakipigana huko sisi jua litakuwa halionekani kwa hiyo mimea itafeli ndipo (Nuclear Winter) baridi kali.

Tujiandae wana JF.
 
Kuna wauzaji wa chakula walinipa taarifa kama hizi, kwamba kuanzia mwezi janauary mwakani bei za vyakula zitapanda mara dufu
 
Msisumbukie maisha yenu duniani, mlenini mnywe Nini Wala mvae Nini!
Bora nyie kuliko ndege,!
 
Kwa Hustler hajawafanyia wepesi? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Si aliwaambia wampe siku 100 Mambo yatakuwa bambam kulikoni Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…