Watanzania wote hatuwezi kuwa viongozi. Mwenzako akipata mpongeze. Usimchukie

NB: Nina Akili Ndogo Sana

Major Generals wote hawawezi kuwa CDF au CoS. Graduates wote hawawezi kuwa wafanyakazi wa serikali. Commissioners wote wa Polisi hawawezi kuwa IGP. Wanasiasa wote hawawezi kuwa wabunge, madiwani au Rais.

Mwenzako akipata mwambie "Hongera sana dada/kaka/ndugu yangu. Ninaomba Mwenyezi Mungu akakulinde na akakusimamie vema na kukulinda katika shughuli zako"

NB: Usimchukie wala kupanga kumdhuru mtu ambaye hajawahi kukutendea ubaya wowote ule eti kwa vile yeye amepata na mimi/wewe umekosa.

Hongera sana Rais Samia, Djembi na Mwigulu, IGP, CDF, GDIS and other high ranking officers.
Kwanza kabisa, kukosoa kiongozi, si lazima kuwe kutaka kuwa kiongozi, au chuki.

Hii ni haki ya kikatiba na kibinadamu tu.

Unaelewa haya?
 
NB: Nina Akili Ndogo Sana

Major Generals wote hawawezi kuwa CDF au CoS. Graduates wote hawawezi kuwa wafanyakazi wa serikali. Commissioners wote wa Polisi hawawezi kuwa IGP. Wanasiasa wote hawawezi kuwa wabunge, madiwani au Rais.

Mwenzako akipata mwambie "Hongera sana dada/kaka/ndugu yangu. Ninaomba Mwenyezi Mungu akakulinde na akakusimamie vema na kukulinda katika shughuli zako"

NB: Usimchukie wala kupanga kumdhuru mtu ambaye hajawahi kukutendea ubaya wowote ule eti kwa vile yeye amepata na mimi/wewe umekosa.

Hongera sana Rais Samia, Djembi na Mwigulu, IGP, CDF, GDIS and other high ranking officers.
Hii inaitwa committing the fallacy of authority (argumentum ad verecundiam).
 
Back
Top Bottom