WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Umofia wana Sports !

Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa hata kwa special Agents kuanzia 8:30-12:30 Jioni ( muda ambao nilifuatilia kutaka kununua tickets).


Bahati nzuri ni kuwa kila mtanzania ataingia uwanjani hata kama hakupata ticket kikubwa fika kwa wakati upewe utaratibu wa kuingia uwanjani.

Watanzania wenzangu Taifa Stars ni Team yetu ndio ngao ya Nchi yetu tufike tupushi kwa upande wetu lengo ni kutoa morali kwa askari wetu 11 wapambane tuvuke hatua hii.

Watu wa mikoani Dua Zenu zina thamani kubwa sana. Hii ni hisoria kwa Nchi yetu ndani ya mwaka huu Simba timu bora Afrika ilicheza fainali ndani ya Ardhi hii na kikombe kikaondoka na Stars inacheza nyumbani inabidi kikombe kibaki.

Karibuni sana wadau kutoa sapoti kwa vijana wetu
​
 
BAdo Kuna nafasi nipo hapa liquid nakula beer nakuja uwanjani ila tufungwe kina msigwa wasianze kumshukuru mama yao
 
Leo ndio nataka nithibitishe kama tuhuma za Morrocco zina ukweli au sio.
Kuhusu kuingilia maamuzi ya CAF ikiwemo kujipangia waamuzi
 
Mpaka aibu ili watanzania waende wapewe tiketi za Bure dah! Tabia mbaya hii
 
Funga mbwa wa ccm hao.
 
Ni mwendo tu wa sherehe sasa ๐Ÿป ๐Ÿพ๐Ÿฅ‚๐Ÿท๐Ÿฅƒ๐Ÿธ๐Ÿน๐Ÿบ baada ya ccm kushindwa kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ