Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Tumuweke na riverside tuwe tunanunua huku tunamuonaNatamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Sawa tu.Tumuweke na riverside tuwe tunanunua huku tunamuona
Hili naunga mkono asilimia π― Samia awe Rais wa Maisha .Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Kila mtanzania atengenezewe kitambulisho cha mama,kila anapoenda aonekane mfuasi mwaminifu wa mamaπ€£π€£π€£Pia tumuweke chooni ili tuwe tuna-pooooo huku tunamuona, Hakika mama anaupiga mwingi mno.
Leo vinyozi wa mama wametoa statementNatamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Wazo murua sana.Pia tumuweke chooni ili tuwe tuna-pooooo huku tunamuona, Hakika mama anaupiga mwingi mno.
NaamLeo vinyozi wa mama wametoa statement
Mie nataka hiyo picha niiweke bafuni kupigia puchu!Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
BhahahahaaaaMie nataka hiyo picha niiweke bafuni kupigia puchu!
Mbona tunazo vyooni tumezitundika ukutana ππNatamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Kwenye simu yangu tu nikiiona picha yake nasonya, itakuwa ndani kwangu?Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Wazo safi sana.Kila mtanzania atengenezewe kitambulisho cha mama,kila anapoenda aonekane mfuasi mwaminifu wa mamaπ€£π€£π€£
wanamnyoa nywele zoteLeo vinyozi wa mama wametoa statement
wanamnyoa nywele zote
ππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏwanamnyoa nywele zote