Watanzania wote wanunue picha ya Mama Samia na kuitundika sebuleni na chumbani

Watanzania wote wanunue picha ya Mama Samia na kuitundika sebuleni na chumbani

Kenya wanasema hawawezi kumpatia hata uwenyekiti wa Kijiji,wanatushangaa huku kapewa nchi
 
Cha ajabu mnamshangaa Mama
Wakati wa nyerere, ilikuwa kuna msako wa kwenye biashara na maofisini wasioweka picha yake wanakamatwa.....
Hao walikuwa hawajazaliwa kwa hivyo hawaielewi hiyo. Bendi zote zilikuwa zinaimba sifa za Nyerere tu na 'fikra zake sahihi'.

Kwa hivyo hakuna la ajabu katika nchi hii.
 
hopefully hata kwenye wallpaper ya simu yako umemuweka...
 
downloadfile-6.jpg
 
FAnyeni hivyo ninyi mlio wa ibilisi, ninyi mnaofurahia kuua na kupora rasilimali za Taifa.

Lakini kwa mtu mwema anayelipenda Taifa lake, mwenye Roho wa Mungu, anayejua thamani ya uhai wa binadamu wenzake, kamwehawezi kuweka kilicho haramu nyumbani mwake. Afadhali uweke picha ya Ali Kibao ili kila unapoamka ukumbuke tulivyo chini ya laana, na imkumbushe kumwomva Mungu atuondolee laana .
 
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k

Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.

Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua toka cuba.
Kuna Bwege lenzako linataka Bunge Liketi na Kupitisha Hoja ya Kubadilisha jina la nchi iitwe jina hilo
 
Ili pesa zitakazopatika wakapewe Wasanii ambao ndio kioo cha CCM ili waje wawe wabunge wetu ambacho ni chombo cha kutunga sheria kama hakina Steve Nyerere, Wema Sepetu, Babu Tale, Babalevo, Amber Rutty, mk.
 
Naam
 
Back
Top Bottom