M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 2,919 Reaction score 5,558 Aug 17, 2026 Thread starter #21 AI BRAINFULL said: Hao mabebelu wanatuonea wivu sisi watanzania tuna afya yakutosha na vyakula vingi hasa mahindi na maharage,yawezekana UN wameona picha za wanachi wa sudan (in msigwa voice) Click to expand... Wakitoa hela ni wadau wa maendeleo wakitoa ripoti hata za kisayansi utasikia mabeberu hawana nia njema na sisi.
AI BRAINFULL said: Hao mabebelu wanatuonea wivu sisi watanzania tuna afya yakutosha na vyakula vingi hasa mahindi na maharage,yawezekana UN wameona picha za wanachi wa sudan (in msigwa voice) Click to expand... Wakitoa hela ni wadau wa maendeleo wakitoa ripoti hata za kisayansi utasikia mabeberu hawana nia njema na sisi.