Watanzania zingatieni mawaidha haya kutoka kwa Rais Samia

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya kisiasa. Kama sasa mmeshaota mapembe na mikia, ni vizuri kutambua kwamba sheria za kistaarabu za nchi yetu hazijabadilika, zipo active mno na zinafanya kazi vizuri sana. Ukikiuka kwa makusudi, bahati mbaya au kwa uropokaji, zitakuwajibisha bila huruma wala kujali hali yako.

Ni muhimu sana kujiepusha kuchochewa au kupumbazwa na mabwenyenye wanaowafadhili fedha au makazi huko ng'ambo na kuwatuma kuja kuleta fujo au vurugu nchini kwa maslahi binafsi, familia na maslahi ya hao mabwenyenye wanaowatuma kilofa namna hiyo.

Watashindana lakini hawatashinda.
well done Dr.Samia Suluhu Hassan.

Kwahiyo mnadhani watu wanaishi kwa hisani mnavyotaka nyie mnaona mna haki kuliko wengine? Hivi watu kudai reforms ni kosa wakati reforms zina manufaa kwa wote wanaopenda haki kasoro wale waliozoea vyakunyonga

No reform No Election
 
anaogopa nn kufanya reform?kwnn achukiwe hadi ndani mwa chama chake?kwnn ahonge pkpk baiskel nch nzma?samia anashda gani? Watz siyo wajinga kuna kitu kwake hakiko sawa.
Chama kimeendekeza ndugu koo zile zile za akina Kikwete/Makamba/Mwinyi/Bulembo basi
 
eforms zilishafanyika gentleman hakuna haja ya kuweweseka kwa mihemko.

kama ulisusa, basi enjoy athari za kususa ila ushike adabu na ukadhani kuna wa kukubembeleza
 
anaogopa nn kufanya reform?kwnn achukiwe hadi ndani mwa chama chake?kwnn ahonge pkpk baiskel nch nzma?samia anashda gani? Watz siyo wajinga kuna kitu kwake hakiko sawa.
reforms zilishafanyika ndugu mpiga ramli.

chuki binafsi na ushirikina wako na wawengine ni useless katika kuongoza nchi gentleman
 
Nyie UWT ni wapumbavu sn, hivi mnadhani tunaishi kwa hisani ya Rais au nchi ni mali ake binafsi?
mama Ima acha kuweweseka,
BAWACHA wote mnateswa na laana ya kuchoma vitenge.

Dr.samia suluhu hassan ndie mgombea urais wa ccm katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, na ataapishwa kuongoza muhula mwingine mpaka 2030, bila mbamba za kibaka au tapeli yeyote wa siasa nchini.

waambie na wenzako kuhusu hili
 
Kwenye 4R ya utekaji/kuua na kufungua case za kukomoana ni ipi?
 
Chama kimeendekeza ndugu koo zile zile za akina Kikwete/Makamba/Mwinyi/Bulembo basi
hao wote ni waTanzania wenye haki na fursa sawa za uongozi kama waTanzani wengine tu.

chuki binafsi dhidi yao ni useless na nonsense kabisa.
wajulishe na wengine kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa.
 
Falsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya kisiasa. Kama sasa mmeshaota mapembe na mikia, ni vizuri kutambua kwamba sheria za kistaarabu za nchi yetu hazijabadilika, zipo active mno na zinafanya kazi vizuri sana. Ukikiuka kwa makusudi, bahati mbaya au kwa uropokaji, zitakuwajibisha bila huruma wala kujali hali yako.

Ni muhimu sana kujiepusha kuchochewa au kupumbazwa na mabwenyenye wanaowafadhili fedha au makazi huko ng'ambo na kuwatuma kuja kuleta fujo au vurugu nchini kwa maslahi binafsi, familia na maslahi ya hao mabwenyenye wanaowatuma kilofa namna hiyo.

Watashindana lakini hawatashinda.
well done Dr.Samia Suluhu Hassan.

Mipasho kama mipasho
 
Huwezi kumkandamiza mtu na kumnyima haki zake za msingi, halafu akipambana kujitetea unaanza kumuita mvunja amani...
 
Attachments

  • IMG_20230125_142552.jpg
    IMG_20230125_142552.jpg
    51.3 KB · Views: 16
Huwezi kumkandamiza mtu na kumnyima haki zake za msingi, halafu akipambana kujitetea unaanza kumuita mvunja amani...
huwezi kuropoka na kukiuka sheria eti kwasababu una hali fulania au kwasababu umetumwa na mabwenyenye wanaokufadhili pesa, wanaokutunzia mke na watoto wako huko ng'ambo kisha tukukenulie tu,

No hiyo haiwezekani,
utawajibishwa kisawasawa kwa mujibu wa sheria na katiba na hakuna lofa watukufanya chochote popote kama Taifa.

waambie na wengine hili
 
Back
Top Bottom