UWT kalieni ushirikina tupu, mwambie aweke tume huru ya uchaguzi kama atapata kura milioni 2?mama Ima acha kuweweseka,
BAWACHA wote mnateswa na laana ya kuchoma vitenge.
Dr.samia suluhu hassan ndie mgombea urais wa ccm katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, na ataapishwa kuongoza muhula mwingine mpaka 2030, bila mbamba za kibaka au tapeli yeyote wa siasa nchini.
waambie na wenzako kuhusu hili
Kumbuka siku zote nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu, mtaimba sana taarabu lakini kama hukubaliki hukubaliki tu, kama hawakutaki ni hawakutaki tu.. utatumia mbinu zote mwishowe utaachia ngazi... kama umma hukutaki hakuna kitu utafanya..huwezi kuropoka na kukiuka sheria eti kwasababu una hali fulania au kwasababu umetumwa na mabwenyenye wanaokufadhili pesa, wanaokutunzia mke na watoto wako huko ng'ambo kisha tukukenulie tu,
No hiyo haiwezekani,
utawajibishwa kisawasawa kwa mujibu wa sheria na katiba na hakuna lofa watukufanya chochote popote kama Taifa.
waambie na wengine hili
Wajinga wakubwa nyie, wengine mmewekwa kama manamba/kazi za kupandia koo zilezile miaka yote. Shenzi typehao wote ni waTanzania wenye haki na fursa sawa za uongozi kama waTanzani wengine tu.
chuki binafsi dhidi yao ni useless na nonsense kabisa.
wajulishe na wengine kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa.
Tume ya taifa ya uchaguzi ipo kwa mujibu wa katiba sio kwa mujibu wa mihemko ya BAWACHA kuchoma vitenge.UWT kalieni ushirikina tupu, mwambie aweke tume huru ya uchaguzi kama atapata kura milioni 2?
Tume inaundwa na mgombea eti tume au shina la UVCCMTume ya taifa ya uchaguzi ipo kwa mujibu wa katiba sio kwa mujibu wa mihemko ya BAWACHA kuchoma vitenge.
undeni tume nyingine ya kuchoma vitenge bas BAWACHA
ni ushirikina na uchawi kudhani eti umma na Mungu ni wako pekeyako.Kumbuka siku zote nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu, mtaimba sana taarabu lakini kama hukubaliki hukubaliki tu, kama hawakutaki ni hawakutaki tu.. utatumia mbinu zote mwishowe utaachia ngazi... kama umma hukutaki hakuna kitu utafanya..
Tume ya taifa ya uchaguzi inaundwa kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sio kwa mujibu wa mayowe au makelele ya vibaka au matapeli ya kisiasa yanayofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.Tume inaundwa na mgombea eti tume au shina la UVCCM
Hahahaachana na porojo za drama ndugu mpiga mvinyo