Chama kimeendekeza ndugu koo zile zile za akina Kikwete/Makamba/Mwinyi/Bulembo basianaogopa nn kufanya reform?kwnn achukiwe hadi ndani mwa chama chake?kwnn ahonge pkpk baiskel nch nzma?samia anashda gani? Watz siyo wajinga kuna kitu kwake hakiko sawa.
eforms zilishafanyika gentleman hakuna haja ya kuweweseka kwa mihemko.Kwahiyo mnadhani watu wanaishi kwa hisani mnavyotaka nyie mnaona mna haki kuliko wengine? Hivi watu kudai reforms ni kosa wakati reforms zina manufaa kwa wote wanaopenda haki kasoro wale waliozoea vyakunyonga
No reform No Election
reforms zilishafanyika ndugu mpiga ramli.anaogopa nn kufanya reform?kwnn achukiwe hadi ndani mwa chama chake?kwnn ahonge pkpk baiskel nch nzma?samia anashda gani? Watz siyo wajinga kuna kitu kwake hakiko sawa.
mama Ima acha kuweweseka,Nyie UWT ni wapumbavu sn, hivi mnadhani tunaishi kwa hisani ya Rais au nchi ni mali ake binafsi?
hao wote ni waTanzania wenye haki na fursa sawa za uongozi kama waTanzani wengine tu.Chama kimeendekeza ndugu koo zile zile za akina Kikwete/Makamba/Mwinyi/Bulembo basi
Mipasho kama mipashoFalsafa ya 4rs ndio iliyowapa fursa na nafasi ya wananchi wote kuungana tena na waTanazania wengine baada ya kujificha kwa mabeberu kwa kipindi kirefu kwa sababu na visingizio mbalimbali vya kisiasa. Kama sasa mmeshaota mapembe na mikia, ni vizuri kutambua kwamba sheria za kistaarabu za nchi yetu hazijabadilika, zipo active mno na zinafanya kazi vizuri sana. Ukikiuka kwa makusudi, bahati mbaya au kwa uropokaji, zitakuwajibisha bila huruma wala kujali hali yako.
Ni muhimu sana kujiepusha kuchochewa au kupumbazwa na mabwenyenye wanaowafadhili fedha au makazi huko ng'ambo na kuwatuma kuja kuleta fujo au vurugu nchini kwa maslahi binafsi, familia na maslahi ya hao mabwenyenye wanaowatuma kilofa namna hiyo.
Watashindana lakini hawatashinda.
well done Dr.Samia Suluhu Hassan.
huwezi kuropoka na kukiuka sheria eti kwasababu una hali fulania au kwasababu umetumwa na mabwenyenye wanaokufadhili pesa, wanaokutunzia mke na watoto wako huko ng'ambo kisha tukukenulie tu,Huwezi kumkandamiza mtu na kumnyima haki zake za msingi, halafu akipambana kujitetea unaanza kumuita mvunja amani...