Watasalimika wangapi?

Watasalimika wangapi?

Oya mzee wa vinyeo umerudi🤣, long time brother.

"Ogopa sana mateke ya mwisho ya mnyama anayekufa.. Yaogope mno! Maana ni mateke ya kutafuta wa kuondoka naye"
 
Hata kama ila mwendazake alikuwa na mambo yake mabaya
Mtumishi wa Bwana89 Dkt Magufuli alikuwa mkarimu sana ila alikuwa mkali kwa waovu wote ila wakiomba msamaha au kujutia alikuwa mwepesi wa kusamehe (Mfano alivyomsamehr Nape na akina Januari na Mwigulu na Kinana). Wewe na wenzako mtakuja kujua Dkt Magufuli alikuwa mwema hapo baadaye. Maana kila ukweli utaendelea kujiweka wazi. Ona sasa hao ambao walisemehewa na Dkt Magufuli (Nape, January etc ) walivyokuwa wanapanga kumpoka urais tena iwe kwa kuondoa uhai au njia ya kura can you imagine? Hivi unajua Dkt Samia unajua mangapi walipanga mabaya juu yake, jiulize Dkt Samia angekuwa Mama yako then unasikia watu wanampango mbaya juu yake au fikiria jinsi ambavyo hao akina Nape etc walivyoshiriki na kufanikisha kumuua Dkt Magufuli na wanavyoshangili mpaka leo je angekuwa baba yako au kaka yako Dkt Magufuli kalala
Kaburini halafu unasikia nape anasema mungu kaamua ugomvi anaandaa na sherehe ya kujipongeza na kualika wazee walioraritubu mauaji au ungejisikiaje mzee makamba alivyosema wazee walichoka wakaamua kumuua Dkt Magufuli na akamhakikisha Dkt Samia ni mzuri hawawezi kumuua kumbe nyuma ya pazia wanamuandalia kifo. Kwa ujumla Dkt Magufuli haukuwa na tatizo ila propaganda mbaya nyingi zilitembezwa
 
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
Kama hawahusiki kwanini wathibitishe kwa vitendo ? Kuna yule alie pelekwa kutalii mbugani Katavi alishatoa code lakini hakuna kilicho endelea .
 
Iko hivi haya magenge yapo organized mpaka watu wa ndani kabisa, so rahisi kivile bosi.
 
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
Kama wanaigiza ili wasafishe legacy?Who knows?
 
kinana hawezi hata tu ku shakehand kama real man, mtu huyu hata alifikaje huko juu? i mean, hiyo hand shake yake kwenye serious companies huwezi pata kazi, lkn kwetu nasikia amepitia jeshini na amepanda ranks mpaka kufikia hapo, how ?
Body language expert wewe Kamanda.
 
Ni siku ya furaha na huzuni pia

1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia hapa

2. Ni siku ya huzuni kwakuwa Shadrack kijana aliyechoma picha ya mkuu wa kaya kisha kukamatwa kupandishwa kizombani, kuhukumiwa kifungo na hatimaye kulipiwa faini na Watanganyika wazalendo na kutoka lupango sasa ni saa 48+ zimepita tangu atekwe na wasiojulikana

3. Ni siku ya faraja na furaha kuu kwakuwa katikati ya mtanziko, taharuki, fadhaa na mashaka makuu wakili msomi Mwabukusi kashinda kinyang'anyiro cha kuwa rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika law society) Anastahili pongezi nyingi mno maana haikuwa rahisi kabisa...!

Utekaji bado upo.. Utekaji na watekaji is for real.... Watu bado wanatekwa na kutokomezwa kusikojulikana na wasiojulikana.. Hali ni mbaya kuliko tunavyodhania.

Watakaosalimika ni wachache kati ya wengi ama ni wengi kati ya wachache
Wafaidikaji
Chawa, kunguni na viroboto
Waunga juhudi
'Wenzetu'
Watakaoweza kukaa kimya kabisa
Wa ndio mkuu
Wasiojua kuhoji
Wasioweza kuhoji
Waabudu sanamu
Wasifuni.. nk

Hapo kabla Watanganyika walikuwa wakihoji kimya kimya na wazi wazi kuhusu wanaopotea na huko wanakopotea.. Lakini baada ya simulizi ya Katavi jibu likapatikana

Ogopa sana mateke ya mwisho ya mnyama anayekufa.. Yaogope mno! Maana ni mateke ya kutafuta wa kuondoka naye

Walioko kwenye list ni wengi.. Pengine hata wewe na mimi tumo!
Swali muhimu: Ni nani atasalimika?

View attachment 3060067
Ubaya Ubwela...
 
Geshi rimesema hizi ni taharuki za kupuuzwa. Hata wazili wa ugari na mahalage amesema inji iko saraaaaaaama sarimini.

Anyway anaupika mwingi, uji umeanza kumwagika. Bila kuweka sufuria kubwa, tutalala njaa
 
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
Wote ni wale wale walioasisi huo mfumo na hilo kundi la utekaji na watekaji.. Badala ya kunitaka nimuombe radhi Magu ungeniambia nimlaani.. Ila kwakuwa hayupo kujitetea huyu tumuweke pembeni maana Mungu alishaamua ugomvi wake!
Kijana mtovu wa adabu huyo!!,
Hakuna kipindi watu wapotea kama kipindi cha awamu ya tano! (mamia)
Sheria ingechukua mkondo wake sio kumteka
Oya mzee wa vinyeo umerudi🤣, long time brother.

"Ogopa sana mateke ya mwisho ya mnyama anayekufa.. Yaogope mno! Maana ni mateke ya kutafuta wa kuondoka naye"
🥺😂😂😂
 
Huyu sijui atarudishwa kwa staili gani
.
20240804_211559.jpg
 
Back
Top Bottom