Watasalimika wangapi?

Watasalimika wangapi?

Ni siku ya furaha na huzuni pia

1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia hapa

2. Ni siku ya huzuni kwakuwa Shadrack kijana aliyechoma picha ya mkuu wa kaya kisha kukamatwa kupandishwa kizombani, kuhukumiwa kifungo na hatimaye kulipiwa faini na Watanganyika wazalendo na kutoka lupango sasa ni saa 48+ zimepita tangu atekwe na wasiojulikana

3. Ni siku ya faraja na furaha kuu kwakuwa katikati ya mtanziko, taharuki, fadhaa na mashaka makuu wakili msomi Mwabukusi kashinda kinyang'anyiro cha kuwa rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika law society) Anastahili pongezi nyingi mno maana haikuwa rahisi kabisa...!

Utekaji bado upo.. Utekaji na watekaji is for real.... Watu bado wanatekwa na kutokomezwa kusikojulikana na wasiojulikana.. Hali ni mbaya kuliko tunavyodhania.

Watakaosalimika ni wachache kati ya wengi ama ni wengi kati ya wachache
Wafaidikaji
Chawa, kunguni na viroboto
Waunga juhudi
'Wenzetu'
Watakaoweza kukaa kimya kabisa
Wa ndio mkuu
Wasiojua kuhoji
Wasioweza kuhoji
Waabudu sanamu
Wasifuni.. nk

Hapo kabla Watanganyika walikuwa wakihoji kimya kimya na wazi wazi kuhusu wanaopotea na huko wanakopotea.. Lakini baada ya simulizi ya Katavi jibu likapatikana

Ogopa sana mateke ya mwisho ya mnyama anayekufa.. Yaogope mno! Maana ni mateke ya kutafuta wa kuondoka naye

Walioko kwenye list ni wengi.. Pengine hata wewe na mimi tumo!
Swali muhimu: Ni nani atasalimika?

View attachment 3060067
Lakini si inasemekana hakuna utekaji bali "vidrama" tu?
 
Utekaji bado upo.. Utekaji na watekaji is for real.... Watu bado wanatekwa na kutokomezwa kusikojulikana na wasiojulikana.. Hali ni mbaya kuliko tunavyodhania.
 
Utekaji bado upo.. Utekaji na watekaji is for real.... Watu bado wanatekwa na kutokomezwa kusikojulikana na wasiojulikana.. Hali ni mbaya kuliko tunavyodhania.
20240822_173735.jpg
 
Hii kitu inakera Sana kupita kiasi
 
Walioko kwenye list ni wengi.. Pengine hata wewe na mimi tumo!
Swali muhimu: Ni nani atasalimika?
 
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
sasa ata wakiomaha magufuli,maiti inasikia??
 
Back
Top Bottom