alikuona usiku huyo mtotoMimi nishang'ang'aniwa na mtoto supermarket 'daddy daddy....'
Kama kwenye profile ni picha yako sishangai. Lakini kupendwa na watoto ni kipaji. Fungua daycare
Mimi nishang'ang'aniwa na mtoto supermarket 'daddy daddy....'
hii mbaya mkuu, kuna bwana mmoja aliwahi ng'ang'aniwa na katoto' baba' 'baba' jamaa akakibeba safiii kumbe baba yake anaona huo mchezo ukijumlisha na akili yake ndogo akakasirika.
Akamtuhumu jamaa kutembea na mke wake na mtoto atakua kaoneshwa na mama kwamba huyu ndo 'baba" sema wazee waliamua kwa busara pale.
Ndio waafrika walivyo hivyo,hahah hawanaga family planning kabisaaa wanaendeshwa kwa utabiri wa watoto.hahahje unawatoto?
kama huna huo ni ujumbe unatakiwa utafute mtoto.
wanasemaga kama huna watoto utapendwa sana na watoto.
...acha fiksi mkuda,Hahaha,
Juzi nimekaa kanisani kwenye Ibada ya Christmas.
Watu wako kimya kuna katoto pembeni kakaniropokea "Heee mama huyu mbaba ni mweusi huyoo halafu ana mindevu"
Watu wakageuka na kuangalia nikabaki nachekaaa.
Kamdanganye baba yakoMimi nishang'ang'aniwa na mtoto supermarket 'daddy daddy....'
Hahaaaaaumefanana na katuni au una sura ya kike mate
wengine tukiwaangalia watoto wanaanza kulia
angalia yasije yakakukuta ya Babu seya na kochaWasalaam.
Kumekuwa na kawaida sana kwamba watoto wadogo wakiniona wananiangalia sanaaaaa.
Halafu baadae wanaanza kucheka kweli kweli. Hadi wazazi wao wanaanza kushangaa maana huwa hawachekagi hivyo sana. Siku nyingine nimekaa sehemu naingia tu nakuja katoto fulani kakike kamekuja kukaa karibu yangu kananiangalia sana usoni, baadae nikakapa simu yangu kakaanza kucheza Game ya Temple Run. Mama yake akaja pale kuniomba radhi na kuanza kukaraipia kwanini kanaazima simu za watu kasiowajua. Wale majirani zangu wakasema walihisi labda ni katoto kangu hivi. Nilimwambia mama yake mimi sina shida acheze tu, tukakaa nako pale kakacheza mpaka simu ikakata chaji. Kakaanza kunipigisha stori yani tumeongea nako hadi kakalala nikakabeba. Ile naondoka wacha kaanze kunililia ova kananijua yani.
Mara nyingi watoto huwa wanaanzanga kuniongelesha na kunizoea hadi nashangaa sana.
Sasa juzi nidyo nimeishiwa na nguvu, nimekaa kwenye mstari wa hospitali nikaona kajaa fulani kana kama mwaka moja hivi. Yaani kadogo balaa (Andunje) kakamuacha maza wake kakanifuata pale nilipokuwa nimekaa, kakaniangalia kwa muda mrefu kweli halafu baadae kakaanza kucheka kama mtu mzima. Kalicheka hadi kanakaa chini, watu pale hawana mbavu wanaanza kuniangalia mimi hadi nkajistukia yani. Hii sii mara ya kwanza yaani sijui kuna nini kati yangu mimi na hivi vijamaa.
Nikiweka sura ya ukali ili kuvifukuza nidyo kabisaa vinazidi kucheka,
Yaani hata niwe mkali vipi vyenyewe hivyo mwilini. Mara kinivute sharubu, mara kinivue miwani.
Hiki kiko na andazi lake kinataka kunilisha na mimi yaani vurugu ova vinanijua atiii.
Yaani sijuia vinaniona mimi nimekaa kama likatuni fulani.
Stress zitakuua wewe.Kamdanganye baba yako
Unamaanisha kalimuona usiku nyumbani kwao...alikuona usiku huyo mtoto
strategy ya kuwakamata single mothers wa JF.Wasalaam.
Kumekuwa na kawaida sana kwamba watoto wadogo wakiniona wananiangalia sanaaaaa.
Halafu baadae wanaanza kucheka kweli kweli. Hadi wazazi wao wanaanza kushangaa maana huwa hawachekagi hivyo sana. Siku nyingine nimekaa sehemu naingia tu nakuja katoto fulani kakike kamekuja kukaa karibu yangu kananiangalia sana usoni, baadae nikakapa simu yangu kakaanza kucheza Game ya Temple Run. Mama yake akaja pale kuniomba radhi na kuanza kukaraipia kwanini kanaazima simu za watu kasiowajua. Wale majirani zangu wakasema walihisi labda ni katoto kangu hivi. Nilimwambia mama yake mimi sina shida acheze tu, tukakaa nako pale kakacheza mpaka simu ikakata chaji. Kakaanza kunipigisha stori yani tumeongea nako hadi kakalala nikakabeba. Ile naondoka wacha kaanze kunililia ova kananijua yani.
Mara nyingi watoto huwa wanaanzanga kuniongelesha na kunizoea hadi nashangaa sana.
Sasa juzi nidyo nimeishiwa na nguvu, nimekaa kwenye mstari wa hospitali nikaona kajaa fulani kana kama mwaka moja hivi. Yaani kadogo balaa (Andunje) kakamuacha maza wake kakanifuata pale nilipokuwa nimekaa, kakaniangalia kwa muda mrefu kweli halafu baadae kakaanza kucheka kama mtu mzima. Kalicheka hadi kanakaa chini, watu pale hawana mbavu wanaanza kuniangalia mimi hadi nkajistukia yani. Hii sii mara ya kwanza yaani sijui kuna nini kati yangu mimi na hivi vijamaa.
Nikiweka sura ya ukali ili kuvifukuza nidyo kabisaa vinazidi kucheka,
Yaani hata niwe mkali vipi vyenyewe hivyo mwilini. Mara kinivute sharubu, mara kinivue miwani.
Hiki kiko na andazi lake kinataka kunilisha na mimi yaani vurugu ova vinanijua atiii.
Yaani sijuia vinaniona mimi nimekaa kama likatuni fulani.
Wazazi wako wanakufa njaa wewe upo busy kudanganya watu humu jinga kabisaStress zitakuua wewe.
Msafi wa moyo au una babyface...Kuna watu tupo hivyo afadhal nipata mwenzangu nilikua nawaza cpati picha saa mi hata kitoto kikiwa kinalia wameshindwa kukinyamazisha mi nkikibeba kinakaa kimya gaflaa full kunitumbulia macho na kukiacha baada ya hapo ni mbinde cjui tatzo ni nn mweeee
strategy ya kuwakamata single mothers wa JF.
Una mawazo mufilisi sana mkuu!angalia yasije yakakukuta ya Babu seya na kocha