Watato wakiniona huwa wanacheka sana na kunizoea hata niwe mkali

Watato wakiniona huwa wanacheka sana na kunizoea hata niwe mkali

Haahaha Espy,
Good to see youuu!
Mimi siyo mweusi kivileee, hawa watoto wananivunjia heshima tu!
Hahahaaaa!!

Kupendwa na watoto kuna raha na karaha zake.

Mie huwa naamshwa saa 12 asubuhi,hawajui hata ni w.end unasikia tu "maimuu amkaa", unachoamshiwa sasa[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Umetoa kazini umechokaaa ila wao hata hawaelewi ndio kwanzaa wanataka mcheze au mpige story.
 
Jumamosi ndiyo huwa vina kero sana!
 
Hahaha...
1. Kuna sura nzito zamani tulikuwa tukiambiwa zinakuja tunakula fasta

2. Kuna sura za kikatuni zamani tulikuwa tukilia tukiambiwa zinakuja tunatulia na kufurahi.

[nikiwa mgeni watu wa kwanza kunizoea ni watoto na nawapenda saana.]
 
Nikiwa sijawa mtu wa maovu maovu watoto tulikuwa marafiki sana, nakumbuka mtaani kuna watoto watatu walipewa majina sawa na mimi.

Nilikuwa na macho makubwa kwa hiyo akizaliwa mtoto ana macho makubwa anapewa jina langu.

Sasa nikawa kila sikukuu nanunua pipi, biscuits, jojo na vitu vingine vya watoto wanakuja home, wakimkuta mama mimi sipo wanalia kweli, ikawa kama deni sasa, kila weekend lazima waje.

Siku moja kuna mtoto aliharisha na kutapika baada ya kula biscuits, mama yake akaja nyumbani anaongea mwanae kalishwa sumu, akifa tujiandae kuozea jela, tena akasema alishashtukia kwamba eti nafanya vile ili niwatoe sadaka wale watoto nitajirike, nilikuwa ni ule mwaka wa kusubiri kujoin chuo baada ya kumaliza form 6, nilimchukua yule mtoto mpaka hospital, tumefika tu akawa hata hatapiki tena, akapona tu mwenyewe.

Basi tukarudi. Sasa nikaachana na wale watoto, wanakuja kulia nyumbani mimi hata sina muda, mpaka wazazi wanakuja kuniomba msamaha eti watoto wanalia. Ile shida ilinifundisha kutodili na mtoto wa mtu, tena usimpe chakula chochote.
 
Aiseee,
Pole sana mkuu!
 
Hahahahaha,
Gweee Umukuda uko fureshiiiii!
Naskia umekuwa Ki-ben ten kwa limaza moja hivi huko town!
Teh teh teh teh teh.....utakufwaaaaaa//....
...hahahahaha...mkuda nishaogea sana jivu la kunguni hilo zali linidondokee,lakini wapi!
...afu nimemsoma mkuu pipi mti huko juu nimejigundua mimi SINA AKILI aisee!
 
Nyota ya babu seya hiyo na dunia ilivyoharibika hivi utapewa kesi soon
 
watoto hutizama watu kwa jicho la kiroho,wanaiona roho yako njema,mimi nina vitu viwili,hiko ulicho nacho wewe lakini watoto wananifurahia hawanicheki

cha pili ninaombwa sana msaada na watu ambao mimi naona wana shida ya kweli sio matapeli popote niendapo,jambo hilo limekuwa likitokea kwangu miaka nenda rudi,sijui watu wenye uhitaji wanaona nini ktk sura yangu ila tangia msimu wa vyuma kukaza uanze sisaidii tena watu.
 
...hahahahaha...mkuda nishaogea sana jivu la kunguni hilo zali linidondokee,lakini wapi!
...afu nimemsoma mkuu pipi mti huko juu nimejigundua mimi SINA AKILI aisee!

Huyu mtoto pipi mti anataka kunivunjia heshima kabisaa. Bwahahahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]

Its always good having you around mkuda!
Umenichekesha sana leo, kwa huu ukuda wako...
 
....hahahahaha..ze filingi izi myucho mkuda,
..mzee wa 'strategy'
....papaa ni jinias sana arifu,
.kakung'amua fastaaa!
 
Mie niko tofauti kidogo mtoto akiniona mara ya kwanza ataniogopa sana ila baada ya muda mfupi tu anaona aahh kumbe hili zee liko peace sana baada ya hapo tunakuwa marafiki sana hadi wananiota usiku hata mie huwa najiuliza sipati jibu.
 
Back
Top Bottom