Watatu jela maisha kwa kukutwa na kemikali za kutengeneza ‘Smart Gin’, ‘Double Kick’

Hii story ipo kwenye vijiwe vingivsana vya kahawa na bodaboda, umeamua kuileta na humu
 
Sio kweli, Tena Kwa Ulaya wangefungwa maisha na wangeozewa pale mbele ya kifungo 'without possibility of parole'
Ulaya ipi hiyo ambayo ingewafunga hivyo bila uthibitisho kuwa kemikali zao zimetumika kutengeneza pombe iliyoua watu? Kwa mtaji huo basi kila anayeiba pesa ya umma angekuwa anafungwa maisha maana pesa alizoiba zingeweza kutumika kununua dawa ambazo zingeokoa maisha ya watu wengi.
Msitake kutudanganya kwa kutumia simulizi za vijiweni.

Amandla...
 
Nyie watu wa NGO na kulamba miguu ya wazungu ni jadi yenu
 
2022 smart gin ilishaingia sokoni??

By the way hizi Brands za pombe kali za bei chee za buku mbili, tunakunywa tu lakini siyo za kuaminika sana,.. Bora mtu kunywa brands zinazoeleweka kama Konyagi, Kvant, Grants, Valeur, Hanson choice n.k
Huioni kvant kwa hiyo list?
 
Hawa kweli walikuwa hawajitambui, yaani kesi kubwa kama hiyo unajiwakilisha mwenyewe!! Anyway wacha iwe fundisho Kwa maharamia wengine, Vijana wetu wengi wanaangamia Kwa unjwaji pombe, Sasa wanawawekea na fake products!!???
 
2022 smart gin ilishaingia sokoni??

By the way hizi Brands za pombe kali za bei chee za buku mbili, tunakunywa tu lakini siyo za kuaminika sana,.. Bora mtu kunywa brands zinazoeleweka kama Konyagi, Kvant, Grants, Valeur, Hanson choice n.k
Hawa Vijana walikuwa wanafake brand zote, kutegemea na wahitaji, walikuwa wanachukua packaging materials kutoka viwanda husika (kutoka wafanyakazi wasiokuwa waaminifu), hasa hizi za bei mbaya Ndio walikuwa wanafake brand
 
T NEMBO YA TRA na hio ethenol bila kibali ndio msala wao , wangekuwa na wakili hata wakuvungia tu wasingekula mvua kubwa namna hio,
nmejifunza mengi sana mahakaman ukienda bila wakili ata kesi ya kutukanana tu mtaani unaweza kunyongwa
 
Nendeni bonyokwa kwenye nabar kuna fake kibaoooo na zinatengenezwa na wanawake flan wanasambaza chunguzen wanakaa wapi wasijetumaliza hope awachanganyi na gongo
 
Kuna kiwanda niliwahi kufanya kazi, basi kulikuwa na ile kemikali inaitwa Ethanol, jamaa wengi walikuwa wanakunywa kwa kuchanganya na maji tu.

Wakitoka kazini wamelewa mbwi, sasa sijui kama ni hatari kuitumia ile kemikali maana vijana walikuwa wanabugia sana.
 
T
NEMBO YA TRA na hio ethenol bila kibali ndio msala wao , wangekuwa na wakili hata wakuvungia tu wasingekula mvua kubwa namna hio,
nmejifunza mengi sana mahakaman ukienda bila wakili ata kesi ya kutukanana tu mtaani unaweza kunyongwa
Mkuuu wengjne hata hizo tra wanawauzia. Wenyewe nenda vile vidubwasha vifungashio wametaja wanauziwa na wafanyakazi ambao badowakokazini hiizoezi gumusana sana mjiandae tu mapema na nauli za kuwasafirisha kwenu kabla amjafa
 
Kiasi sio mbaya .mbaya kupitiliza

Hata madk wanakunywa kufanya zile operation taharishi na wanaperform
 
2022 smart gin ilishaingia sokoni??

By the way hizi Brands za pombe kali za bei chee za buku mbili, tunakunywa tu lakini siyo za kuaminika sana,.. Bora mtu kunywa brands zinazoeleweka kama Konyagi, Kvant, Grants, Valeur, Hanson choice n.k
Hujaona hapo pia walikuwa wanatrngeneza kvant bandia
 
HAWA MBWA UTAKUTA HATA KONYAGI..KVANT FEKI WAMO WAMEUA WENGI SANA NA MATAKATAKA YAOO WAENDE TU
 
T
NEMBO YA TRA na hio ethenol bila kibali ndio msala wao , wangekuwa na wakili hata wakuvungia tu wasingekula mvua kubwa namna hio,
nmejifunza mengi sana mahakaman ukienda bila wakili ata kesi ya kutukanana tu mtaani unaweza kunyongwa
Dah! Kwani NEMBO YA TRA inatunzwa Under Lock and key au ipo-ipo tu hadi wasela wakaipata?
Hiyo hoja ya kumiliki Ethanol bila kibali inafikirisha sana. Hivi nikikutwa na Konyagi (40% ethanol), k-vant (40% ethanol) au vodka(40 -60% ethanol) bila kibali nitashtakiwa? au spiriti (ethanol + methanol 95-100%) ya kuwashia karabai au kusafishia kidonda changu ni makosa?
Sijui hata nianzie wapi lakini niwaombe tu wataalam wasomi TLS wakishirikiana na LHRC kwa huruma zao kama inawezekana waokoe jahazi kama ilivokuwa kwa yule mama aliyekutwa na kilo 12 tu za nyama pori huko Iringa akahukumiwa 22 yrs gerezani. Hawa ndugu wataozea jela simply kwa kukosa mtetezi. Mungu atawabariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…