mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Adhabu iendane na kosa.Wahalifu wakifungwa,mnalalamika,wakiaachiwa bado mnalalamika ,hata sijui watanzania mnataka nini hasa mbona kama mnatuchanganya sana!!??
Kwani mtu akiwa gay hairuhusiwi kufungwa gerezani?kuna sheria inayosema hivyo kwamba mtu akiwa gay hairuhusuwi kumfunga?Nasikia huyo kafiri (mshikatikwa no.1) kaachiwa huru kwa matatizo ya kibaologia (gay)
Yeah! Inatakiwa kuwe na a Fair play. Mtu kaiba (bila kujali mbinu aliyotumia) mabilioni tena kodi zetu, halafu anasawazishwa au anaachwa kabisa lakini aliyekutwa na pombe (Ethanol) lita chache tu anahukumiwa tena adhabu kali kupitiliza. Hii sio sawa.Adhabu iendane na kosa.
Yaani isiwe mafisadi wanaachiwa tu wanaonekana mashujaa halafu mtu aliyejiongeza ili apate laki ya kulisha familia aonekane kama muuwaji/jambazi sugu/Muhujumu uchumi wakati mafisadi wanaoficha mabilioni ndio wahujumu uchumi namba moja.
Ulaya gani iyo brother na wewe, mtu kahujumu uchumi, anahatarisha maisha ya wananchi alafu afunguliwe kiwanda kama sio upuuzi ni nnKwa Ulaya hawa wangesaidiwa wakaanzisha kiwanda halali, bongo wanafungwa maisha!
Iliyopo kwenye K Vant ni niniEthanol inaua brother.
Hawa njaa zao zilikuwa zinaua watu wengine.
Ingechunguzwa zaidi walioathirika na madhara ya hizo pombe feki.
Inaweza kuwa mbaya zaidi.
Ulaya wangehukumiwa zaidi.
Yeah uko sahihi ndugu.Siiafiki sana hoja yako ila ukitulia na kuliangalia hilo linaloitwa ni kosa:-
1. Uchumi uliohujumiwa na wa mtu mmoja binafsi i.e. Mmiliki wa kiwanda na sio uchumi wa Nchi.
2. Kwamba anahatarisha maisha ya ya wananchi sio kweli kwa sababu ethanol hiyo hiyo ndio inayouzwa au kunyweka kama Konyagi, Jogoo, K-vanti na Smart gin n.k. ambazo ni baadhi ya vinywaji vinachotengenezwa hapa nchini na kuuziwa wananchi.
Ukitazama kwa jicho positive ni kwamba hao watu tayari wanao Ubunifu na ni watu wanaothubutu. Hivi ni vigezo muhimu sana kwa Mjasiriamali. Kwa mantiki hiyo, hao ni Wajasiriamali tayari. Wanachohitaji ni kuendelezwa au kuwa motivated ili "wafunguke" zaidi na nchi iweze kunufaika kutokana na kipaji chao hicho cha ubunifu.
Kuwatupa jela ni kuzika Talanta waliyo nayo. Ndo mana mdau hapo juu ameiweka hoja hiyo kwa kutaja Ulaya; ila sio lazima iwe ni ile Ulaya unayoijua wewe.
Wewe ni msengeeNasikia huyo kafiri (mshikatikwa no.1) kaachiwa huru kwa matatizo ya kibaologia (gay)
Mtume Muhammad alikuwa anapaka wanja na hina na kumlamba mdomo na kumnyonya ulimi mwanamme mwenzake al Hussein msikitini akiwa uchi.Nasikia huyo kafiri (mshikatikwa no.1) kaachiwa huru kwa matatizo ya kibaologia (gay)