Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Hao wapo salama
Msamaha wa Rais utawatoa gerezani siku ya uhuru
Thubutuuuuuu!!!! Aaaaiiiiiiiih
Gerezani ya makaburini labda, watu weuweeeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaumaaa eeeh? Unajifarijiiiii?
Watu wanakulaaa kitanziiiiiii!!! Poleeee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usifurahi watu wa kunyongwa, Je ni kweli wameua? Au sheria ndio imewahukumu wameua? Maana wanaotunga hizo sheria ndio wanamadhambi kibao. Mafisadi, Wachawi, Waongo, Matapeli hakimu wa kweli ni Mungu pekee yake.
 
Yule mimi nlikuwa namjuwa vzr tu
Na tunapiga stori...ilikuwa
Akikuambia watu waliyokuwa wanaruka naye [emoji1]
Wako mpk vigogo ,mimi nkachoka
Tena na ushahidi anakuonesha jinsi mtu anavyomlilia [emoji1]

Ova
Boraa uwaambiee hawa wenzakoooo.
Maana hawana wanalojua, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilisoma gazetini mwenendo washauri...yeye alichoka ndoa akatafuta vijana wamuuwe mume" wake....maelezo Yale yalionuesha ni jinsi gani Binti alikuwa na akili ndogo ya kuandaa mpango huo!
Cc tpaul huyo dada hakuwepo katika eneo la mauaji na bado kapata adhabu sawa na wauwaji kwa sababu alisuka mpango wa mauwaji hayo.
 
Thubutuuuuuu!!!! Aaaaiiiiiiiih
Gerezani ya makaburini labda, watu weuweeeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hawaa watakua wa kwanza na mwisho kunyongwaaaa.
Unaumiaaa eeeh, kawasaidiee mpate kitanziii woteee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weuweeeeee!!!!
 
Usifurahi watu wa kunyongwa, Je ni kweli wameua? Au sheria ndio imewahukumu wameua? Maana wanaotunga hizo sheria ndio wanamadhambi kibao. Mafisadi, Wachawi, Waongo, Matapeli hakimu wa kweli ni Mungu pekee yake.
Wananyongwaaaaaaa!! Wamekutwa na hatia ya mauaji na kila kitu kiko waziii.
Achaa hukumuu ifuateee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wananyongwaaaaaaa!! Wamekutwa na hatia ya mauaji na kila kitu kiko waziii.
Achaa hukumuu ifuateee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa wamepiga mhuri wa moto

Mashujaa wetu hao
Ushoga ni uchafu
Kubalini jinsia zetu au nendeni uko Kwa mashoga ULAYA
 
Boraa uwaambiee hawa wenzakoooo.
Maana hawana wanalojua, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
9/10 kuna siku nlikaa mahali napiga vitu vyangu mara kuna nyumba moja nje ya geti kulikuwa na zogo mpaka watu wanatoleana bastola,kisa shg
Kuna mmoja anasema yeye ndy kampangishia na mwingine anasema huyo ni wake,tena mashuwa mmoja kaja na prado
Mwingine v8 😄

Ova
 
Kikubwa wamepiga mhuri wa moto

Mashujaa wetu hao
Ushoga ni uchafu
Kubalini jinsia zetu au nendeni uko Kwa mashoga ULAYA
Mashujaa uchwaraaa na wanapigwaa kitanziiiii. Wee unaekenua hapa kwa keyboard huku unagugumia moyoniii.

Ushogaaa ni fashiooooon!!
Ulayaaaa? Akati hapa wanatambaaa na hakuna kitu mnafanyaaa?

Wabongo mnajua kubweka mtandaoni, huko uraianii kimyaaa.
Mashogaaaa Woyeeeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
9/10 kuna siku nlikaa mahali napiga vitu vyangu mara kuna nyumba moja nje ya geti kulikuwa na zogo mpaka watu wanatoleana bastola,kisa shg
Kuna mmoja anasema yeye ndy kampangishia na mwingine anasema huyo ni wake,tena mashuwa mmoja kaja na prado
Mwingine v8 [emoji1]

Ova
Msengee anagombaniwa na V8 Kwa Pradooo, wee huogopiiii?
Wasengeeee woyeeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.

Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri ambao umethibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Agosti 27, 2024 kuanzia saa 3.02 asubuhi hadi saa 5.12 asubuhi na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Geita, Kelvin Mhina.

Soma Pia:
Jaji Mhina aliyesikiliza kesi hiyo amesema kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri, Mahakama imewatia hatiani washtakiwa wa kwanza hadi wa tatu na kumuachia huru wa nne, Musa Lubingo.

Nyoosha kiswahili. Mahakama haikuwatia hatiani bali imekuta na hatia ya kumwua Milembe.

Mahakama kuwatia hatiani ni kama imewabambikizia hatia hiyo ilihali ni hatia waliyotenda wenyewe
 
Mashujaa uchwaraaa na wanapigwaa kitanziiiii. Wee unaekenua hapa kwa keyboard huku unagugumia moyoniii.

Ushogaaa ni fashiooooon!!
Ulayaaaa? Akati hapa wanatambaaa na hakuna kitu mnafanyaaa?

Wabongo mnajua kubweka mtandaoni, huko uraianii kimyaaa.
Mashogaaaa Woyeeeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama shoga unajiamini
Njoo kafanye ushoga Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Mara au Kagera
Habari utaipata
 
Nakumbuka Tanzia yake ilivyoletwa humu kuna watu walifurahi, walitukana, walipongeza, bans zilitembea za kutosha, leo hukumu imetoka wale washangiliaji siwaoni na wachache waliojitokeza wana comment kinyonge sana huku wanatetemeka kwa uoga,

Hakuna aliye juu ya sheria, ukiua na wewe utauliwa tu,

Continue to rest in peace Milembe 🙏 hao washenzi wakija huko wadai roho yako wasikae kwa amani kabisa.
Chan msingi LGBT limeondoma
 
Remember: Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is bad for the gunners.

You'll reap what you sow.
Hongera kwa kutunga msemo wako sababu wahenga wenyewe walisema hivi.....

what's good for the goose is good for the gander
 
Back
Top Bottom