Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

Nadhani tumeepuka hatari fulani ambayo tungeweza kuingia.....

Nadhani nilisema haya hata kabla ya Yaliyompata huyu Marehemu

Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.

Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri ambao umethibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Agosti 27, 2024 kuanzia saa 3.02 asubuhi hadi saa 5.12 asubuhi na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Geita, Kelvin Mhina.

Soma Pia:
Jaji Mhina aliyesikiliza kesi hiyo amesema kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri, Mahakama imewatia hatiani washtakiwa wa kwanza hadi wa tatu na kumuachia huru wa nne, Musa Lubingo.

Mahakama imehitimisha vyema kabisa
 
Kama shoga unajiamini
Njoo kafanye ushoga Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Mara au Kagera
Habari utaipata
Ushoga uko had Kigomaa bwasheeeee, sembusee hapoo Lake zone?
Ulizaa uambiwe.
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Mimi najiuliza swali hili hili.
Kwa nini Hawa Watu waliamua kumuua huyo mtu?? Aliwakosea nini hasa??

Kama sababu zao ni Homophobia tu, basi wamevuna walichopanda. Hii pia iwe fundisho kwa Watu wengine wenye tabia kama hiyo ya kufanya homophobic attacks.
Wenzaoo waliokua wanawasifia, Leo wanagugumiaa moyonii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera kwa kutunga msemo wako sababu wahenga wenyewe walisema hivi.....

what's good for the goose is good for the gander
Asante kwa kuongezea jambo kwenye Hoja yangu.
Lakini napenda kukujulisha kwamba msemo huo sikuutunga mimi, Bali Mimi nimenukuu kutoka kwa mojawapo ya Hukumu ya Mahakama katika Kesi za kuwahukumu Askari na Wanajeshi wa Majeshi ya Dikteta Adolf Hitler waliohusika katika kuwaua kikatili Watu wa Jamii ya Wayahudi ambao walikuwa wakiishi katika nchi za Ulaya kama vile Ujerumani, Ukraine, n.k.
Majaji wa Mahakama waliamua kuweka msemo huu kwenye Hukumu zao walizokuwa wakizitoa baada ya Wanajeshi watuhumiwa wa Mauaji ya kupanga dhidi ya Wayahudi kuwalalamikia Majaji hao kwamba wamekuwa wakitoa Hukumu kali Sana za chuki dhidi ya Wanajeshi wa Bw. Adolf Hitler kama vile Hukumu hizo zilikuwa Mpango wa kulipa kisasi dhidi ya Wanajeshi hao.
Nafikiri umenielewa kwa sasa.
 
Unaweza kufanya hisani kuweka hapa hio Hukumu ili tuendelee kujifunza..., Elimu haina Mwisho... Natanguliza Shukrani.
 
Ushoga uko had Kigomaa bwasheeeee, sembusee hapoo Lake zone?
Ulizaa uambiwe.
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku lake zone ndo Kuna watu wanaojieleqa
 
Huwa mnasema wanawake wa KIMACHAME ndio katili. Haya sasa KIKO wapi!!!!!? Je huyo dada aliyeratibu huo mpango wa kinyama ni Kabila gani??
 
Et yule demu wake nae yupo hapo kwenye kunyongwa,?
IMG-20240903-WA0004.jpg
Yaani Milembe alikuwa anamfuja huyu demu? Hii siyo pisi ya kusagwa, hii inastahili mjegeje tu. Wanaume tulidhulumiwa sana na Milembe, kifo halali yake
 
Safiii sanaa, na hukumu itekelezwee Wanyongwe hadi kufaaaa
Km mnyongajii hayupo, wanichukue mie, nije nitekeleze hukumu ipasavyo kabisa, na kwa Weledi mkubwaa.

Haya Wajaaa mlosemaa kuwa watuhumiwa watatoka huru, kisa Milembe ni Msagaji, njooni muwasaidie wenzenu kunyongwaaa, mxxxiiieeeeeew.
ambacho hujui rais ndo anatia saini hati ya kunyongwa mtu!,mahakama inahukumu kupitia sheria inavyosema ila ruhusa yakunyongwa saini ya rais tu!.
marais wanaogopa kunyonga sikuhizi kutokana na maswala ya kiimani "usiue" saini yake inaruhusu kuua! hao watawekwa tu jera mpk wajifie wenyewe.
 
Back
Top Bottom