Mahakama imehitimisha vyema kabisaWashtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.
Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri ambao umethibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Agosti 27, 2024 kuanzia saa 3.02 asubuhi hadi saa 5.12 asubuhi na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Geita, Kelvin Mhina.
Soma Pia:
Jaji Mhina aliyesikiliza kesi hiyo amesema kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri, Mahakama imewatia hatiani washtakiwa wa kwanza hadi wa tatu na kumuachia huru wa nne, Musa Lubingo.
- Watatu Mbaroni kwa mauaji ya mfanyakazi wa Mgodi wa GGM Milembe Selemani
- TANZIA - Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa
Ushoga uko had Kigomaa bwasheeeee, sembusee hapoo Lake zone?Kama shoga unajiamini
Njoo kafanye ushoga Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Mara au Kagera
Habari utaipata
Wenzaoo waliokua wanawasifia, Leo wanagugumiaa moyonii.Hata Mimi najiuliza swali hili hili.
Kwa nini Hawa Watu waliamua kumuua huyo mtu?? Aliwakosea nini hasa??
Kama sababu zao ni Homophobia tu, basi wamevuna walichopanda. Hii pia iwe fundisho kwa Watu wengine wenye tabia kama hiyo ya kufanya homophobic attacks.
Asante kwa kuongezea jambo kwenye Hoja yangu.Hongera kwa kutunga msemo wako sababu wahenga wenyewe walisema hivi.....
what's good for the goose is good for the gander
Unaweza kufanya hisani kuweka hapa hio Hukumu ili tuendelee kujifunza..., Elimu haina Mwisho... Natanguliza Shukrani.Asante kwa kuongezea jambo kwenye Hoja yangu.
Lakini napenda kukujulisha kwamba msemo huo sikuutunga mimi, Bali Mimi nimenukuu kutoka kwa mojawapo ya Hukumu ya Mahakama katika Kesi za kuwahukumu Askari na Wanajeshi wa Majeshi ya Dikteta Adolf Hitler waliohusika katika kuwaua kikatili Watu wa Jamii ya Wayahudi ambao walikuwa wakiishi katika nchi za Ulaya kama vile Ujerumani, Ukraine, n.k.
Majaji wa Mahakama waliamua kuweka msemo huu kwenye Hukumu zao walizokuwa wakizitoa baada ya Wanajeshi watuhumiwa wa Mauaji ya kupanga dhidi ya Wayahudi kuwalalamikia Majaji hao kwamba wamekuwa wakitoa Hukumu kali Sana za chuki dhidi ya Wanajeshi wa Bw. Adolf Hitler kama vile Hukumu hizo zilikuwa Mpango wa kulipa kisasi dhidi ya Wanajeshi hao.
Nafikiri umenielewa kwa sasa.
Huku lake zone ndo Kuna watu wanaojieleqaUshoga uko had Kigomaa bwasheeeee, sembusee hapoo Lake zone?
Ulizaa uambiwe.
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Et yule demu wake nae yupo hapo kwenye kunyongwa,?
Eee walikuwa wanazurura wote wanavaa hadi sare sema hii pic ya zamani alikuwa ashanenepa sanaView attachment 3085800 Yaani Milembe alikuwa anamfuja huyu demu? Hii siyo pisi ya kusagwa, hii inastahili mjegeje tu. Wanaume tulidhulumiwa sana na Milembe, kifo halali yake
ambacho hujui rais ndo anatia saini hati ya kunyongwa mtu!,mahakama inahukumu kupitia sheria inavyosema ila ruhusa yakunyongwa saini ya rais tu!.Safiii sanaa, na hukumu itekelezwee Wanyongwe hadi kufaaaa
Km mnyongajii hayupo, wanichukue mie, nije nitekeleze hukumu ipasavyo kabisa, na kwa Weledi mkubwaa.
Haya Wajaaa mlosemaa kuwa watuhumiwa watatoka huru, kisa Milembe ni Msagaji, njooni muwasaidie wenzenu kunyongwaaa, mxxxiiieeeeeew.
Kumbe ulimjua !! Yaani wanaume tunatafu mrembo halafu yeye anamsaga??Eee walikuwa wanazurura wote wanavaa hadi sare sema hii pic ya zamani alikuwa ashanenepa sana
So walikuwa wanajipost instagramKumbe ulimjua !! Yaani wanaume tunatafu mrembo halafu yeye anamsaga??
Bwana jela shakaniView attachment 3085800 Yaani Milembe alikuwa anamfuja huyu demu? Hii siyo pisi ya kusagwa, hii inastahili mjegeje tu. Wanaume tulidhulumiwa sana na Milembe, kifo halali yake