Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

Huyu jamaa nasikia alikuwa anakwenda mpk sokoni yani amani tu baada ya kustafu urais r.i.p
Ni kweli aliwaambia wamachinga wahame sehemu fulani sokoni wakabisha. Siku ya siku alikwenda mwenyewe amevalia uniform za jeshi na kikosi chake wakawachapa viboko vya kutosha. Wamachinga hawakukaa pale sokoni mjini mpaka alipowacha uraisi.
 
Mobutu ndani,magufuli out haya bana
 
Fun Fact ni kuwa King Leopold II hakuwahi kukanyaga ardhi ya Kongo.
 
Yahya Jameh akuwa katili,umemzushia.
Ata Iddi Amin kunachumvi za uzushi ziliongezwa,kama kula nyama za watu,kuwakusanya viwete na kuwatupa mto Kagera n,k
Sema madikteta wanajua sana kutukuzwa na wanamuziki. Wanamuziki wa kongo kila leo wanampamba Obiang Nguema. Nilishangaa pia watu kama Morgan Heritage kuweza kuimba wimbo wa kumsifu Jameh! Hela kweli ni asali ya moyo.
 
Huyu mbona hujamuweka kwenye list?Au unamwona kama yeye anavyojiona akijiangalia mwenyewe?
 

Umewasahau hawa manyang’au.
1. Fode Sanko(Sierra Leone)
2. Charles Taylor(Liberia)

NB: Mpaka vita vya wenyewe kwa wenyewe vinaishi Sierra Leone, maelfu ya wananchi walikuwa walemavu iwe ni miguu ama mikono. Na wengi wao wakiwa watoto na wanawake. Hata jeshi la Fode Sanko lilijaa watoto(U18).
 


 
Watoto wake walikuwa wanasoma day UK

Nyumba yake ilikuwa dhahabu tupu mpaka kitasa

Kweli alikuwa mtu poa.

Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app

Acha historia zakuambiwa Mobutu hakuwa mtu mbaya Bali ni historia tu

Na tambuwa miaka yake 30+ Kongo hakukutokea vita wala nini
But look right now how DRC it is
Without mobutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…