Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.
Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.
Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.
Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.
Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Natamani kiongozi wa serekali wa ngazi yoyote aje athubutu siku moja kutaka kunichapa hivi.Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.
Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.
Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.
Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.
Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Acha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
Miaka ya nyuma kuna mtu aliwah kumuua RC sababu ni uonevu unakuta mteule anakuwa na kibur mpaka kwa wabunge hasa hasa wa upinzan yan kisa tu kateuliwa na rais bas ni vurugu tu nchi hii kuna siku mtu atavunjwa shingo mbele ya camera ili iwe mfano kuna watu nimajasiri let wait and seeHivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.
Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.
Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.
Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.
Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Nidhamu inajengwa kwa kuchua sheria mkononi?Sasa hutaki?
Mwamindi alimpa nidhama mteule wa nyerere.alafu akaenda polisi anamwambia mchukueni mbwa wenu.Tulia kamanda nidhamu izidi kujengwa
Na sisi tutawachapa tuNidhamu haichagui...hata ikiwa wewe na viboko ni lazima, utachapwa
Hapana hii tabia ya ajabu inabidi ikemewe na watu wote bila kujali itikadi za kisiasa.Tulia kamanda nidhamu izidi kujengwa
Dalili ya kukosa hoja za msingi.Umekosa uteuzi
Hatari huu mwaka aisee.Huu mwaka umeanza na maajabu mapema..
BAK
Sheria za nchi yetu au za unyago!?Wewe ni mbumbumbu wa sheria au unajitoa ufahamu ili kuganga njaa?
Naona sasa umefikiwa na mkono wa chuma.Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Hata mimi naisubiri hio siku ifike...dah!Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.
Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.
Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.
Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.
Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Is this you!?? sir your account may have been hacked! by Magu haters!Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.