Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

Acha ujuha wewe, hao wanaochapwa umejua mambo wanayoyafanya? Nini kuchapwa, walifaa kunyongwa kama ingekuwa china
 
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hadi wewe vilio vimeanza?
 
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.

Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.

Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.

Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.

Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.

Naunga mkono hoja.
 
Wakati nipo shule ya upili kidogo tu nimuuwe mwalimu mmoja baada ya kunidhalilisha, nashukuru aliumia kidogo japo waalimu wenzie waligoma kuwa nikirudi shuleni wataacha kazi, kwa bahati nzuri Mkuu wa shule alisimama kunitetea hadi nikafanya NECTA.

Udhalilishaji wa watu unafanyika kwenye kada nyingi sana, haijalishi kuwa mtu kakosea au kaonewa but ni vema sana kutumia mbinu stahiki kumuonya mtu afanyapo kosa na sio kunidhalilisha mbele ya halaiki.

Kwa mimi jinsi nilivyo ukinidhalilisha basi hakikisha kuwa unaniua pia maana tofauti na hapo nitakutakufanyia kitendo ambacho siwezi kukisema.
 
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.

Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.

Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.

Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.

Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Natamani kiongozi wa serekali wa ngazi yoyote aje athubutu siku moja kutaka kunichapa hivi.
I swear siku hiyo lazima mmoja wetu (iwe yeye au mimi) ataishia kwenye body bag!
 
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.

Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.

Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.

Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.

Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Miaka ya nyuma kuna mtu aliwah kumuua RC sababu ni uonevu unakuta mteule anakuwa na kibur mpaka kwa wabunge hasa hasa wa upinzan yan kisa tu kateuliwa na rais bas ni vurugu tu nchi hii kuna siku mtu atavunjwa shingo mbele ya camera ili iwe mfano kuna watu nimajasiri let wait and see
 
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...

Umekosa uteuzi
 
Tulia kamanda nidhamu izidi kujengwa
Hapana hii tabia ya ajabu inabidi ikemewe na watu wote bila kujali itikadi za kisiasa.

Kwani hakuna mahakama?
Watumie sheria zilizopo kuwahukumu, ikitokea sheria husika inatoa mwanya wa adhabu ya viboko basi na iwe hivyo wachapwe tu.

Kinachotokea sasa kuna watu (viongozi) wanaochapa watu viboko ovyo hadharani watashitakiwa na kufungwa au kudaiwa fidia kubwa.

Ule siyo uongozi ni ushenzi, tabia za kikoloni na kitumwa.
 
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Naona sasa umefikiwa na mkono wa chuma.
 
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.

Binafs naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react vibaya endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.

Hatujui watu wanapanga nini katika mioyo yao ila kuna wanaoweza ku-react wakati kitendo hicho kinaendelea na kuna wanaoweza kuja kulipiza baadae-kila mtu na akili yake.

Hivyo, iitokea kiongozi kageuziwa kibao na kudhalilishwa mbele ya camera au siku yoyote baada ya tukio, tunaomba watawala na vyombo vya dola mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa.

Endeleeni ila iko siku mtakutana na watu wanaoweza kufanya maamuzi magumu na ya kijasiri yanayoweza kumaliza kabisa hii tabia kwa kumtoa mfano mmoja wa weteule anaendekeza hii tabia ya kudhalilisha watu hadharani.
Hata mimi naisubiri hio siku ifike...dah!
 
Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.

Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Is this you!?? sir your account may have been hacked! by Magu haters!
 
Back
Top Bottom