Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

Yaani leo nimekaa nikawaza hata kama ni mimi nime hujumu uchumi huwezi kunipiga viboko hadharani.

Kuna mawili either nikuvunje shingo au nikupeleke mshakamani.

Mbaya zaidi Sheria inasema mtu ha hukumiwi Mara mbili kwa kosa lile lile.

Utanichapa viboko,. Nitakupeleka mshakamani ukishinda tutaonana kitaa
 
Aiseee ni wewe kweli ? Wafuasi wa Lumumba wa Zanzimana mmeanza kuonyoosha maelezo , endeleeni kusifu na kuabudu awamu hii tuliwaambia hamkusikia mmeyaona sasa .
 
Atakayefanya hivyo nitampa binti yangu bikra na gharama za harusi ni juu yangu.
Tumechoka na watafuta kiki za kihanithi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…