Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Mkitii sheria bila kulazimishwa hmtaviona viboko...ww uko nje ya sayari hii mwenzetu?!
Ukiona mwenzi ananyolewa we tia maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkitii sheria bila kulazimishwa hmtaviona viboko...ww uko nje ya sayari hii mwenzetu?!
Ukiona mwenzi ananyolewa we tia maji
Tanzania tunapiga kura kwa uhuru na haki na CCM inashindaHata Afrika Kusini, makaburu waliporuhusu weusi wapige kura ndiyo ulikua mwisho wao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu watekwe wapigwe risasi wauwawe Asiongee kitu sembuse viboko. Alivyo sema I wish I could be IGP watu hawakumuelewa. Alimaanisha IGP awapige kipigo Cha mbwa KOKO.
Yaani leo nimekaa nikawaza hata kama ni mimi nime hujumu uchumi huwezi kunipiga viboko hadharani.Hapana hii tabia ya ajabu inabidi ikemewe na watu wote bila kujali itikadi za kisiasa.
Kwani hakuna mahakama?
Watumie sheria zilizopo kuwahukumu, ikitokea sheria husika inatoa mwanya wa adhabu ya viboko basi na iwe hivyo wachapwe tu.
Kinachotokea sasa kuna watu (viongozi) wanaochapa watu viboko ovyo hadharani watashitakiwa na kufungwa au kudaiwa fidia kubwa.
Ule siyo uongozi ni ushenzi, tabia za kikoloni na kitumwa.
Kwa haki za kura kupenyezwa mpaka was polisi ndiyo ushindi wa CCMTanzania tunapiga kura kwa uhuru na haki na CCM inashinda
Hahaaaaaaa...hamuishiwi manenoKwa haki za kura kupenyezwa mpaka was polisi ndiyo ushindi wa CCM
Aiseee ni wewe kweli ? Wafuasi wa Lumumba wa Zanzimana mmeanza kuonyoosha maelezo , endeleeni kusifu na kuabudu awamu hii tuliwaambia hamkusikia mmeyaona sasa .Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania.
Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
Ujue mbaya kukufanyia ubaya si lazima awe na sababu...Mkitii sheria bila kulazimishwa hmtaviona viboko...
Time will tell!! for sure waendelee uone!Jaribu na wewe uone
Ninayo mamlaka katika sheria ya kujitetea!! Wakija kwangu receiption yote haitarudi hata kwa plastic surgery!Huna mamlaka Wala madaraka