Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

Wayahudi si waarabu. Acha kupotosha watu. Kuwepo Wapalestina si kuwafanya Waisrael kuwa Waarabu. Nimeona nikuweke sawa sawa katika hili. Tafuta nchi ya Kiarabu ambayo ilitawaliwa na Mwanamke Achana Nigeria isnt an Islamic State/Country.

Nimesema nchi za kiislamu, siyo nchi za kiarabu. Ukishasema uarabuni, usisahau kuwa hata israel ni sehemu ya uarabuni ambayo licha ya wayahudi ina pia waislamu wengi sana na iliwahikutawaliwa na mwanamke Golda Meir
 
Jifunze kusoma na kuelewa mambo; wewe unazungumza Nigeria iliyoundwa baada ya Uhuru miaka ya sitini na post hiyo inazungumuza himaya ndani ya nchi hiyo miaka ya 1400 kabla ya Usman dan Fodio.
Unaishi karne gani vile?
 
Write your reply...
NINASUBIRI JIBU LA juu ya swali je uislamu unasemaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke? T
 
Wayahudi si waarabu. Acha kupotosha watu. Kuwepo Wapalestina si kuwafanya Waisrael kuwa Waarabu. Nimeona nikuweke sawa sawa katika hili. Tafuta nchi ya Kiarabu ambayo ilitawaliwa na Mwanamke Achana Nigeria isnt an Islamic State/Country.
Unaposoma uwe unajitahidi kuelewa unachosoma kuliko kukurupuka kama mkizi. Halafu ukiwa unajua jambo vizuri utalitolea majibu kuiko kuleta lugha za ukali ambayo ni dalili wazi ya ama kutojua usemalo au kujua mambo nusunusu.
 
Umeshapanic tayari...😁😁😁 Ulidhani utawadanganya watu halafu nasi tupo tunakuangalia tu. No way.

Na wewe ni kilaza unakimbilia kudhani kuwa unadanganywa kwa vile umeambia jambo ambalo ulikuwa hujui. Elewa kuwa eneo lote lile ni la kiarabu: Misri, Syria, Lebanon, Jordan, Palestine ni sehemu ya waarabu; in fact utawala wa Hashemite huko Jordan ni uzawa wa Mtume Mommad, na kuwa msikiti mkuu wa Al-Aqsa uko Jerusalem unatoklana na uzao wa mtu Mohammed. Na iwapo hujawahi kufika israel basi elewa kuwa ndani ya israel kuna waarabu waislamu ambao ni raia wa israel, na wamo pia serikalini na kwenye bunge; list ya baadhi yao hii hapa

Maswali yako yote ni magumu sana kwangu; hebu saidia kutupa ufumbuzi wake!
Uislamu(sio waislamu),uislamu hauruhusu mwanamke kushika nafasi za uongozi kuwatawala watu katika mambo ya kijamii.

Mtume kakataza hilo jambo la mwanamke kupewa uongozi.
 
Uislamu(sio waislamu),uislamu hauruhusu mwanamke kushika nafasi za uongozi kuwatawala watu katika mambo ya kijamii.

Mtume kakataza hilo jambo la mwanamke kupewa uongozi.
Ilikuwaje Benazir Bhutto akakubaliwa kutawala Pakistani ambayo ni nchi ya kiislam
 
point but padri huko hawaii akiolewa waislam wote duniani wanaruka kusema ukristo unafundisha ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
point but padri huko hawaii akiolewa waislam wote duniani wanaruka kusema ukristo unafundisha ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisapoti ati ujinga wa mtu mmoja kuunasibisha na taasisi fulani.

Ujinga wa muislamu mmoja usihukumiww kwa uislamu.

Ujinga wa mkristo usinasibishwe na ukristo.

Ndio maana huwa sinaga time sana na mijadala ya kidini kama hiyo ambayo umetolea mfano,maisha yaendelee
 
Israel Ina waislamu wachache sana wa jamii ya kiarabu
Nimesema nchi za kiislamu, siyo nchi za kiarabu. Ukishasema uarabuni, usisahau kuwa hata israel ni sehemu ya uarabuni ambayo licha ya wayahudi ina pia waislamu wengi sana na iliwahikutawaliwa na mwanamke Golda Meir
 
Kajipange urudi tena,umefeli kwenye kuwasilisha
Mimi siyo mwislamu, hivyo siwezi kujibu maswali ya dini nisiyojua; post yangu inahusu mtazamo wa jumla kijamii lakini siyo kidini.
 
Siyo Nigeria yote, ila Nigeria ya kasakzini ni nchi ya kiislamu tangu karne ya sita.
Karne ya sita kulikuwa na nchi huko western Africa?

Hata Africa yenyewe haikuwepo zaidi ya Ethiopia.

Mmeanza umbea eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…