Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

Inakuja
Mkulima Kashindwa Na Yale Mabeberu Pia Tumeyashinda
 
Kama ishapigwa mnada, ni wajibu wetu siye walipa kodi wa nchi hi, ambao ndiyo tumeinunua ndege hiyo, tujulishwe na watawala wetu.............

Kukaa kimya kwa watawala, maana yake wametugeuza watanzania wote kuwa MALOFA na WAPUMBAVU
 
Pengine mkulima kashaanza kuuza matairi!
Mkulima wa South Afrika anafuata nyayo za Jiwe aliyewaagiza wanaopita kwenye njia za mwendo kasi, magari yao yakamatwe na hao traffic Police waanze kuuza tairi za magari yao!
 
Kama ishapigwa mnada, ni wajibu wetu siye walipa kodi wa nchi hi, ambao ndiyo tumeinunua ndege hiyo, tujulishwe na watawala wetu.............

Kukaa kimya kwa watawala, maana yake wametugeuza watanzania wote kuwa MALOFA na WAPUMBAVU
Mkuu hii ni ishara tosha PhD zetu mbele ya wazungu mmmm!hazina issue maji yamezidi unga ngoja tuvute pumzi.
 
Back
Top Bottom