Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!Au Chamwino - Chato - Chato
!
Tunaendelea kukusanya mawazo mazuri kama haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!Au Chamwino - Chato - Chato
Hahaaaaa........... 😆 😆Jiwe alisema magari yanayopita Barabara ya mwendo kasi yakikamatwa yangolewe tairi. Nadhani mkulima anaigilizia
yaan wko makinza na kuufuatilia zaid hata wa serikali za mitaa
hapo ndipo unaonyesha your true colours. wewe kweli kwa kujitoa ufahamu hunatisha! kuna vigezo na sababu ya kusema kuwepo au kutokuwepo maendeleo sehemu fulani. kama ingekuwa kutegemea uelewa wa mtu binafsi ingekuwa catastrophic! na si ajabu wewe binafsi kuona kisichokuwepo kwa sababu ya uelewa fyongo. kwa kila jambo kuwa lilivyo na kukubalika hivyo kuna criterion au criteria kadhaa zinazotambulika kwa jambo husika.Inategemea na uelewa wa mtu binafsi.
Hata kama Taifa limeamua ndege yetu ipige route za huko, lakini ni wajibu wa sisi wananchi kujulishwa, kwa kuwa ile ndege si mali binafsi ya Rais Magufuli na wapambe wake, bali ni mali ya watanzania wote, iliyopatikana kwa kodi zetu.Serikal imeamua ipige route za huko huko ubeberuni ili apokee pesa yake kwa siku ka bodaboda na inaonekana n almost 1yr kukamilisha hilo deni kwa njia hiyo ko tuwe na subra
unaona umetoa hoja? name calling: mara msaliti, mhaini mara si mzalendo. kule south africa zilienda phd tatu zikashinda kesi ya msingi na ya rufaa dhidi ya mkulima. hoja iliyowasilishwa ni kuwa ile ndege inatumiwa na rais na wakati huo alikuwa anashindwa kutekeleza majukumu kadha wa kadha sababu ndege imezuiliwa! sijatunga lolote kati ya hayo. maneno ya ndumbaro. ninachosema ni kwamba hilo kama lilisaidia kule na hapa litasaidia. nataraji baadaye ndumbaro atatuambia huko zilienda phd kumi. si unajua tena huko hakuna mjomba ramaphosa wala maandamano shinikizi ubalozi wa kanada. makonda kagwaya! hapa usaliti unatoka wapi! hii ni precedent tu. sishangai hata adolf hitler alikuwa mzalendo!!! ndio uzalendo wenu huo.Akili za usaliti katika ubora wake.
Sahihisha mkuu, Pro hakusema tashwishi ukimnukuu vema kama sikosei alisema "TASHWISHWI" ni msamiati mpya toka jalalani...
Hivi ambavyo tunaandika mawazo yetu humu jukwaani kuna watu wanatafuta suluhisho la hili suala.hapo ndipo unaonyesha your true colours. wewe kweli kwa kujitoa ufahamu hunatisha! kuna vigezo na sababu ya kusema kuwepo au kutokuwepo maendeleo sehemu fulani. kama ingekuwa kutegemea uelewa wa mtu binafsi ingekuwa catastrophic! na si ajabu wewe binafsi kuona kisichokuwepo kwa sababu ya uelewa fyongo. kwa kila jambo kuwa lilivyo na kukubalika hivyo kuna criterion au criteria kadhaa zinazotambulika kwa jambo husika.
Umesikia habari ya kijiweni na wewe ukaingia mkenge mazima.unaona umetoa hoja? name calling: mara msaliti, mhaini mara si mzalendo. kule south africa zilienda phd tatu zikashinda kesi ya msingi na ya rufaa dhidi ya mkulima. hoja iliyowasilishwa ni kuwa ile ndege inatumiwa na rais na wakati huo alikuwa anashindwa kutekeleza majukumu kadha wa kadha sababu ndege imezuiliwa! sijatunga lolote kati ya hayo. maneno ya ndumbaro. ninachosema ni kwamba hilo kama lilisaidia kule na hapa litasaidia. nataraji baadaye ndumbaro atatuambia huko zilienda phd kumi. si unajua tena huko hakuna mjomba ramaphosa wala maandamano shinikizi ubalozi wa kanada. makonda kagwaya! hapa usaliti unatoka wapi! hii ni precedent tu. sishangai hata adolf hitler alikuwa mzalendo!!! ndio uzalendo wenu huo.
ukiweka hiyo hukumu utakuwa umetusaidia wengi na si mimi tu!Umesikia habari ya kijiweni na wewe ukaingia mkenge mazima.
Wanasheria wetu hawakutumia kigezo cha kuwa ndege ni ya rais, tafuta hukumu halisi badala ya kudanganywa na maneno ya viti virefu.
Hilo ndilo la muhimu kuliko kulishwa matango pori.ukiweka hiyo hukumu utakuwa umetusaidia wengi na si mimi tu!
bukililo, ndugu yangu, una jina zuri lakini unawaza ovyoovyo. mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya wengine. mjinga kutokana na makosa yake mwenyewe. mpumbavu hajifunzi kutokana na makosa ya wengine wala yake mwenyewe. yupoyupo na ndio maana anaitwa mpumbavu kwa kutenda kipumbavu.Hivi ambavyo tunaandika mawazo yetu humu jukwaani kuna watu wanatafuta suluhisho la hili suala.
Tuwape muda badala ya kuwazodoa na kuonyesha kufurahia ndege yetu kukamatwa.
Dunia ilivyo ni zaidi ya mimi na wewe tuijuavyo.bukililo, ndugu yangu, una jina zuri lakini unawaza ovyoovyo. mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya wengine. mjinga kutokana na makosa yake mwenyewe. mpumbavu hajifunzi kutokana na makosa ya wengine wala yake mwenyewe. yupoyupo na ndio maana anaitwa mpumbavu kwa kutenda kipumbavu.
ndugu yangu, kufanya kosa si kosa(?) bali kurudia kosa. unaweza kuona tupo wapi. afadhali tungekuwa wajinga tungejifunza. tusingerudia kosa hilohilo. ndege imekamatwa mara ya tatu kwa sababu hiyohiyo, deni. hata taahira anajua kuwa dawa ya deni ni kulipa. hata kama hukulipa afikiana na mdai wako.
haya mambo ya kutumia mabavu kwa watu wote muda wote na mahali pote yamefanya tuwe taifa la wapumbavu. hatuwazi, hatufikiri. kutafakari kutatoka wapi? kwani kwa kutetea huu upumbavu mnamsaidia rais wa wanyonge? hao wanaoenda kukomboa hizo ndege wanatumia kiasi gani? kingetumika kulipa deni. kila siku mkulu anatuletea aibu kwa maamuzi yake yalokosa busara na maarifa. kujimwambafai hakulipi nyumbani wala ugenini. mwisho wa ubaya aibu.
Binafsi naamini serikali iko mezani na mshika jembe wanayamalizaMambo yapo kimya....nafikiri serikali imeelewa namna ya kudeal na issue sensitive kama hizi. Sio kujibu kila hoja inayotolewa na sisi wachangia kodi