Watawala wetu, tupeni "updates" ya ndege yetu iliyokamatwa huko Canada

Anamaanisha Ulimwengu wa kwanza hawaogopi hiyo misamiati ya TASHWISHWI wanatekeleza Amri ya MAHAKAMA. Nafikiri hapa utaelewa anacho maanisha, typing error Sio KICHAKA.
Mkuu ilishaeleweka alichokuwa anakitishia profesa kwa ukali wa sauti na kutumbua macho... haikuwa typing error mkuu... hiyo ilikuwa vocal... oral... ama vema tuiite tongue error!!!
 
Dunia ilivyo ni zaidi ya mimi na wewe tuijuavyo.
usikwepe hoja! kuna madhumuni na sababu kwa nini wewe na mimi tuwemo katika hiyo idadi ya watu bilioni saba. bila sisi dunia tuijuavyo haijakamilika. uwepo wetu ndio unaifanya ilivyo.
nakataa kufanywa msindikizaji. I've a mission to this world. hata Yesu hawakumsikiliza lakini alisema. ndio maana tuna habari njema, injili. nami nitasema. watasikia tu si viziwi hao. kujinyenyekesha hakuwapunguzii kuwa viongizi. kujimwambafai hakuwafanyi kuwa viongozi zaidi. busara za mkwere wa akili za kuambiwa na wewe weka zako. watawala wa kiafrika wanakuwa na busara wakistaafu(in ulimwengu's voice).
hawa jamaa wa ajabu sana. inafikia kujiuliza kweli walikwenda shule. naona yuko sahihi aliyesema wapo waendao darasani kusoma ujinga. inatakiwa wote kwa sauti moja tuwaambie hapana. kwa upumbavu wao wakipata mashabiki kama ninyi wanajigamba kwa kudai wako na umma. badilika, hili ni janga letu wote. hakuna aliye salama. one man show haijawahi kumwacha yeyote salama. hata muigizaji haponi. wapambe ndio hutangulizwa. mark you!!
 
Hakuna one man show. Narudia tena kukwambia usipende kusikiliza radio mbao za Bar.
 
Atatuua na presha huyu mkulima beberu wahedi
Hapana, kwa hapa sikubaliani na wewe ndugu yangu...pressure tunajipa sisi wenyewe. Dawa ya deni ni kulipa na kama ni kweli hatulipi basi tunavuna tulichopanda, pressure! Tungelipa ndege zetu hazingekamatwa na hiyo pressure haingetutusumbua, tungekuwa tunalala usingizi mwororo bila hili jinamizi la pressure.

Tungelipa si ajabu hata huyo mkulima hangekuwa na tatizo nasi na si ajabu ndege zetu zingekuwa zinapiga mbio kila kona ya dunia bila wasi wasi tukitengeneza pesa kufidia deni. Sasa ona tunavyohangaika...ndege tunazo lakini mbio tunazopiga mwisho kwa majirani masikini kama sisi huku pressure ikiongezeka siku hadi siku!

Twafaa...!
 
Hatufi ila cha moto... ama wanasema cha mtema kuni ndio tutakiona!!!
Tuache kulialia "tuchape kazi!!"
 
Umesikia habari ya kijiweni na wewe ukaingia mkenge mazima.

Wanasheria wetu hawakutumia kigezo cha kuwa ndege ni ya rais, tafuta hukumu halisi badala ya kudanganywa na maneno ya viti virefu.
Tena sio tu inatumiwa na rais Bali inamitambo ya usalama wa raisi,na kama ingeachiwa bila ghiliba kwa nini hawaendi tena SA
 
Binafsi naamini serikali iko mezani na mshika jembe wanayamaliza
Huo ndio ukweli mtupu,kama walivyofanya ile ya kwanza kullikuwa na kimya kirefu kumbe wanatafuta pesa walipe huko Canada PhD tatu hazifui dafu.
 
i
Hata kama Taifa limeamua ndege yetu ipige route za huko, lakini ni wajibu wa sisi wananchi kujulishwa, kwa kuwa ile ndege si mali binafsi ya Rais Magufuli na wapambe wake, bali ni mali ya watanzania wote, iliyopatikana kwa kodi zetu.

Kwa hiyo watanzania wana wajibu mkubwa wa kujulishwa, kila kinachoendelea kuhusiana na ndege hiyo
imewekwa rehan sasa kurudisha hela ya mkulima maana hakuna njia nyingine ya kuinusuru tofauti na hiyo
 
Hahaaaaa........... [emoji38] [emoji38]

Kwa hiyo mkulima wa South Africa keshaanza kutekeleza "maagizo" ya Jiwe, kwa kuanza kung'oa matairi kwenye ndege yetu na kuanza kuyapiga bei!
Exactly
 
usikwepe hoja! kuna madhumuni na sababu kwa nini wewe na mimi tuwemo katika hiyo idadi ya watu bilioni saba. bila sisi dunia tuijuavyo haijakamilika. uwepo wetu ndio unaifanya ilivyo.
nakataa kufanywa msindikizaji. I've a mission to this world. hata Yesu hawakumsikiliza lakini alisema. ndio maana tuna habari njema, injili. nami nitasema. watasikia tu si viziwi hao. kujinyenyekesha hakuwapunguzii kuwa viongizi. kujimwambafai hakuwafanyi kuwa viongozi zaidi. busara za mkwere wa akili za kuambiwa na wewe weka zako. watawala wa kiafrika wanakuwa na busara wakistaafu(in ulimwengu's voice).
hawa jamaa wa ajabu sana. inafikia kujiuliza kweli walikwenda shule. naona yuko sahihi aliyesema wapo waendao darasani kusoma ujinga. inatakiwa wote kwa sauti moja tuwaambie hapana. kwa upumbavu wao wakipata mashabiki kama ninyi wanajigamba kwa kudai wako na umma. badilika, hili ni janga letu wote. hakuna aliye salama. one man show haijawahi kumwacha yeyote salama. hata muigizaji haponi. wapambe ndio hutangulizwa. mark you!!
Hii clown haiwezi kuelewa, lipuuze tu
 
Hii clown haiwezi kuelewa, lipuuze tu
na kweli. nimejaribu kila mbinu kumweleza haelekei. hakika dawa ya mpuuzi ni kumpuuza. mpumbavu hata umtwange vipi kwa mchi mzito kwenye kinu bado atoka mpumbavu. unafanikiwa kumfanya mpumbavu tepetepe. yaani wa hovyo zaidi, phillipo bukililo. tutaponea wapi?
 
Back
Top Bottom