Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Kwa hiyo mahakama ya Canada itamwogopa mwenyekiti wa SADC[emoji23][emoji23]🤪🤪Hawa wakanada hawajui kuwa rais wetu ndiye mwenyekiti wa SADC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mahakama ya Canada itamwogopa mwenyekiti wa SADC[emoji23][emoji23]🤪🤪Hawa wakanada hawajui kuwa rais wetu ndiye mwenyekiti wa SADC?
Ila tufahamishwe kuwa itakuwa imelipiwa deni au kushinda kesi? Maana tumechoka kugharamia hawa watu wetu maarufu kwa sheria wenye ma PhD safari kila baada ya miezi 3 kesi nje.Ndege ikiachiliwa na kutua bongo mtahamisha magoli na kuja na hoja nyingine.
Ushirikina ni tabia na siku zote mtu huzeeka na tabia zake.
Hao wanaotaka walipwe pengine ni watanzania wenzetu ambao malengo yao pengine usalama wa taifa unayafahamu kuliko ramli za humu jukwaani.Ila tufahamishwe kuwa itakuwa imelipiwa deni au kushinda kesi? Maana tumechoka kugharamia hawa watu wetu maarufu kwa sheria wenye ma PhD safari kila baada ya miezi 3 kesi nje.
Si mpiga polishi aliyekuja hapa kutueleza Kwamba Mzungu ana kabidhiwa ndege yake 2/12 Sasa sijui kapotelea wapi, labda viatu vya kupiga polishi vimeongezeka na yeye maana ya hela dhidi ya utu anaelewa, kafuata pesa, sasa naona wachoma mishikaki wameamua kuanzisha hi thread na kuungwa mkono na wenzie lakini wateja wamishikaki nao wakiongezeka watapoteaHawa wakanada hawajui kuwa rais wetu ndiye mwenyekiti wa SADC?
mlituaminisha hivyo hivyo South Africa
Ndiyo sababu kuu iliyotufanya kama Taifa tujitoe hadi kwenye mahakama za AfrikaKwani Afrika kusini mlishinda au mlidanganya kuwa mmeshinda? Kule kesi ilikuwa na tatizo la usajili na sio kushinda. Kama mlishinda mbona mlisitisha safari za kwenda huko kwa sababu zisizoingia akilini? Ni hivi, mnajikuta kwenye wakati mgumu kwasababu ya kuburuzwa na mtu mmoja asiyetii sheria, kwakuwa hapa kaziweka mahakama mfukoni, basi huko nje kwenye mahakama huru anagonga ukuta.
Si walisema Mkulima keshakabidhiwa? Sasa bado nini tena wanauliza?Wakati majibu walishatuletea hapa.Subirini suprise, chuma kitakapoingia JKN.
Ndege ikiachiliwa na kutua bongo mtahamisha magoli na kuja na hoja nyingine.
Ushirikina ni tabia na siku zote mtu huzeeka na tabia zake.
ikiachiliwa? bado inashikiliwa? acha utani. jopo la phd kibao limekwama wapi? walisahau kusema kuwa hii ndege haswa ingetumiwa na rais. kuna special gadgets kumsaidia rais kudukua kila atakalo. ikiendelea kukaa huko mabeberu wanaweza kuweka vifaa vyao kumdukua rais wetu!Ndege ikiachiliwa na kutua bongo mtahamisha magoli na kuja na hoja nyingine.
Ushirikina ni tabia na siku zote mtu huzeeka na tabia zake.
!
!
Hizi Ndege Ziwe Zinapiga Routes Za Kimara Posta
kutoka hatua moja kwenda nyingine. wamefanikiwa. wameturudisha miaka 50 nyuma!Hao wanaotaka walipwe pengine ni watanzania wenzetu ambao malengo yao pengine usalama wa taifa unayafahamu kuliko ramli za humu jukwaani.
Awamu ya tano imeamua kuitoa nchi kutoka hatua moja kwenda nyingine, haya ya ndege kuzuiwa na changamoto chanya.
Ndege ikiachiliwa na kutua bongo mtahamisha magoli na kuja na hoja nyingine.
Ushirikina ni tabia na siku zote mtu huzeeka na tabia zake.